Recent content by NANSOR WA RYMEZ

  1. N

    Barua za uhamisho kutoka TAMISEMI kwenda mkoani inaweza tumika kukuhamisha?

    Ilitolewa copy ile ya mkoani mkurugenz akasain bac nikaitiwa hiyo nikafungasha data nikaondoka
  2. N

    Barua za uhamisho kutoka TAMISEMI kwenda mkoani inaweza tumika kukuhamisha?

    Feedback: jaman nilifanikisha kupata uhamisho, ahsanten kwa ushaur
  3. N

    Barua za uhamisho kutoka TAMISEMI kwenda mkoani inaweza tumika kukuhamisha?

    Habar za mda huu wadau, Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa. Ikawa kimya miezi nikaamua kwenda halmashaur kuulizia chenga zikawa nyingi saana hatimaye mwsho wa siku ps...
Back
Top Bottom