50% ni ndogo, weka 80%....sijajua bado shida ni nini? Njaa, malezi, undawazi nk..
Ukianzisha tu mahusiano, tegemea invoices za kutosha, mabinti wengi wamepigishwa sana shot kwa huu ujinga wa kuendekeza vihela mbuzi hivi..
Sauti ya Mtanzania,
Ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
Mkuu hebu shauri walipaswa wafanyaje?..
Wasiende Zanzibar wabakie Karagwe, wapande ndege hapo Chato to Zanzibar??
Sijaelewa, labda udadavue tuelewe, shida ni nini hasa.
Sauti ya Mtanzania,
Ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
Najaribu kuingalia top ten ya big investment Nigeria nani ni wamiliki na top ten richest list in Nigeria...
Hao nao ni WA Tanzania wenzetu wazalendo, hahahahaha.
Historia inatukuhumu sana, muhindi kaja hapa kabla ya uhuru kufanya biashara, Muarabu na Mzungu hivyo hivyo.
Mbaya zaidi wametuacha...
1. Volume ya hao abiria ikoje?.
2. Volume ya mizigo inayohitaji ndege ni kiasi gani?.
3. Ndege ya abiria 300 inawaleta Tanga Kila week kufanya nini na wakitoka wapi?..
4. Abiria wengi hapo wanatokea nakwenda visiwani unguja na Pemba..
5. Turkish/Emirates/Fly dubai zinatua hapo kuwaleta akina...
Dume dume tu, hayo majina mengine ni mbwembwe tu za walimwengu kuhalalisha ufedhuli....
Nilishawahi kulitafuna moja Pataya, Thai, lilishabadirisha na K....hakuna kitu tena nilikula kavu..hakuna ladha ya K- Og iliyoumbwa na Muumba...K ya baridi, joto unalipata kutoka kwa friction, utelezi...
Issue sio usaliti wala kuhongwa Mzee, Tatizo mambo yanakuzwa kiasi cha mtu ambaye hayupo Tanzania basi anaweza kufikiri Tanzania ni kama Sudani kwa sasa au ni kama ile Somalia ya miaka ya tisini au CAR...ilihali sio hivyo...
Sauti ya Mtanzania,
Ndani ya viunga vya Kabul Afghanistan.
Kuna vita ukiichagua hakikisha una uwezo nayo kimedani na sio kuanza kutia huruma, ukishaacha open politics na kuamua kufanya siasa za gizani tambua utakutana na wenzio gizani ambao sio wanasiasa, jitahidi uwe vizuri kimedani otherwise utaanza tena kuomba huruma kwa walewale, tambua jambo...
Watanzania wote wamekuwa wanasiasa tu...blah blah kila siku..
Tunapaswa kupata kiongozi mmoja mwenye roho mbaya kama Hittler, apige marufuku siasa, demokrasia na huu ujinga wa wanaharakati sijui haki za binadamu nk.
Watu wanapaswa kufanya kazi na kujenga Taifa masikini lenye mahitaji makubwa...
Huyu kajenga nyumba inaangalia kaskazini Kwa kupewa maelekezo na mganga, huyu kaweka nyumba inaelekea mashariki, mwingine kajenga choo na shimo la uchafu karibu na sebule ya mwenzie, huyu kapitisha fence karibu na madirisha ya jirani yake...
Huyu kapaka rangi ya njano nyumba kwasababu yeye...
Ngoja toto mnara uanze, utasikia kwani Kuna dhambi gani, wakiendelea kuchekewa Kuna siku utasikia dk 3 maji masafi aka wamepigana miti.
Sauti ya Mtanzania.
Ndani ya viunga vya Kabul - Afghanistan.
Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.
Kwenye imani tunasema ukilea yatima basi utapata malipo yako kiama na atakayekulipa mwenyezi Mungu mwenyewe.
Baba yupo anakula bata kitaa, Malaya mwenzie aliyechepuka naye tunalala kitanda kimoja huku anaona poa tu unavyoumiza kichwa na damu isiyo ya kwako...
Kwenye hiyo List kuna USA, unataka nayo ichukuliwe hatua kali? Au siyo?..
List haina nchi kama DRC, CAR, Sudani, China, UAE, SAUDIA, Rwanda, Kenya, Uganda nk.
Sauti ya Mtanzania,
Safarini Kabul na Khost - Afghanistan.
Kifupi wengi wetu Watanzania inawezekana 90% ya watanzania weusi tuna tatizo la kifikra.
Hili tatizo letu la kifikra ndio mahala ambapo wenzetu Watanzania weupe (wahindi na waarabu) wanapitia na kumiliki uchumi, hii imesababisha sasa hata majirani Kenyans na Rwandes kuona fursa ya kulala kwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.