Recent content by NAMANYIGU

  1. N

    Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

    JEEPERS CREAPERS ANA AMSHA POPO HIYO UNAWEZA USILALE MKATA ULIMI HUYO JAMAA
  2. N

    Athari za kubadilisha kazi kwenye payroll

    Ukishaitwa mtumishi wa umma jua tu jua unasomeka katika lawson usijidange eti majeshi hawasomeki katika lawson utumishi uliza kwa maafisa utumishi waandamizi watakufahamisha.
  3. N

    DED anapokataa kupitisha kibali cha uhamisho na kufunga datasheet

    NENDA NGAZI YA JUU YAKE KAMA RAS mjulishe na vielelezo vyako vyote ulivo navyo utasaidiwa tu
  4. N

    Msaada: kuitwa kwenye usahili Utumishi

    Nenda hapo hapo Arusha Technical College ndo sehemu husika zingatia muda na tarehe husika
  5. N

    Naomba kujua schedule za mishahara kwa watumish wa umma

    kuna post ipo hapo juu unapoingia katika Forum ya kazi na Tenda inaelezea viwango vya mishahara kifupi havilingani kulingana na taasisi uliyopo
  6. N

    Mtoa dawa anahitajika (ADDO)

    AINISHA na sehemu kwa urahisi wa rejea
  7. N

    Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

    NJOO BABATI TOWN COUNCIL NIJE MKOA WA RUVUMA-WILAYA YA SONGEA MANISPAA KADA (MA) MHUDUMU WA AFYA.
Back
Top Bottom