Kaka kwanza nikupongeze kwa uzalendo ulioonesha umeongea kwa uchungu sana. Ila tatizo lililopo hapa si wanasheria wa kutetea bali ni wahusika waliotuingiza kwenye hii mikataba. Kuna mikataba hata ukiwa mwanasheria nguli vipi huwezi shinda. Changamoto kubwa ni weledi na uzalendo wa watu wanaopewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.