Recent content by Nafaka

  1. Nafaka

    Wakuu Ogopeni Sana wanaojiiya church girls Aiseeeh

    Hao wanalika vizuri tu huku wakikuhubiri...
  2. Nafaka

    Wanaume amkeni; mliooa wenye degree wanawafulia nguo ama mmewanunulia washing machine?!

    Anafua vizuri tu. Kwanza mashine hataki kuitumia anasema haitakatishu
  3. Nafaka

    Licha kupiga mswaki bado kinywa kinatoa harufu, shida Nini?

    Sugua hadi ulimi kisha tumia mouth wash liquid kusukutua za listerine... Brand nyingine bei chee na hazina nguvu zinaisha nguvu haraka
  4. Nafaka

    Yesu alikuwa wapi na anafanya nini kwa miaka 30 ya ujana wake ?

    Kuna docs prof fulani wa kirusi alizikuta kwenye hekalu la wahindu huko India zikionyesha alikuwa India kwa miaka hiyo
  5. Nafaka

    Katika nchi inachekesha kwenye uongozi kila mahali ni Tanzania

    Mkuu watanzania wengi uelewa bado mdogo. Yani ukitaka kujua bado sana tembelea vijijini. Kwanza vijijini wengi wanaona wanachofanyiwa ni hisani. Mbunge akija anagawa 5000 na kanga wanashukuru sana mwaka mzima. We angalia kipindi cha uchaguzi wabunge wanarudi majimboni mwao na ma v8 tazama...
  6. Nafaka

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    Sio upendo umeisha mkuu maisha yamekuwa magumu sana. Yani jinsi dunia inavyogundua teknolojia ndivyo maisha yanakuwa magumu. Imagine vitu ambavyo sasa vimekuwa muhimu: Simu, plus vocha Kulipia king'amuzi Ukitaka watoto wasihangaike uwapeleke private school Hapo ujitahidi upate kausafiri plus...
  7. Nafaka

    Hivi ni kwanini baadhi ya Waafrika wana akili ndogo sana?

    Sio baadhi wengi wetu kama sio wote... Ni genetics. Tutabisha lakini ndio ukweli
  8. Nafaka

    Katika nchi inachekesha kwenye uongozi kila mahali ni Tanzania

    Huko vijijini sasa, mtu ameishi dar es salaam hata kwenda huwa haendi. Halafu anakuja kugombea wanamchagua. Anarudi zake dsm likizo anaishia wilayani au makao makuu ya mkoa. Haya nayaona kwetu huko muleba
  9. Nafaka

    Nissan patrol y60

    Hapa nissan alitulia sana. Teknolojia simple, few breaking points.
  10. Nafaka

    naomba mwenye link ya lile bandiko linaloelezwa jinsi ya kupata namba za simu ulizopoteza anisaidiw

    Kama ji android. Nenda www.contacts.google.com kwa kutumia email uliyokuwa unatumia kwenye sinu, kisha benda kwenye recyclebin na utazikuta zinakaa miezi 6 na ubofye restore all
  11. Nafaka

    David Kafulila: Mwaka 2050 idadi yetu itafikia mil 140 na kila mtu atakuwa na wastani wa kipato cha Sh. mil 20 kama pato lake la Mwaka

    Okay, compare hiyo milion 20 ya kipindi hicho na ya sasa utagundua itakuwa ina thamani ya milion 3 za sasa. Ni sawa na uconpare milion 10 ya sasa na ya 2000 utagundua milion 10 ya kipindi hicho ingenunua ist 2 ila ya sasa haiwezi. Hivyo mtu atakuwa na mils 20 lakini haiwezi kununua vitu ambavyo...
  12. Nafaka

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Ni sawa tu na wanaonunua Gwagon... Kila mtu ana kitu ambacho kinamfurahisha
  13. Nafaka

    KERO Kuna changamoto kubwa sana kwenye Routers za ODU za Airtel

    Hivi line yao ukiweka kwenye router nyingine isiyo yao inafanya kazi... Niliiweka kwenye simu ikagoma. Sema mimi sina lawama nao toka nimeinunua nina mwaka na miezi nane naienjoy tu
  14. Nafaka

    Lissu wa CHADEMA amekaa Miaka 10 Bungeni ameshindwa kujenga nyumba kijijini, tukisema mshahara wa mbunge hautoshi muwe mnaelewa tuache kupotosha umma

    Kiinua mgongo cha mwalimu aliyekaa kazini miaka hata 30, ni sawa na mshahara wa mbunge wa mwaka. Kwanini usiseme mshahara wa mwalimu hautoshi wewe unamuwazianmbunge ambaye mshahara wake wa mwezi ni zaidi ya mara 14 ya mshahara wa mwalimu na bado anapewa lita 1000 za mafuta kila mwezi, ana nyumba...
Back
Top Bottom