Recent content by mzeewadriver

  1. M

    Mabere Marando na utetezi wa Manji

    Ni nani anawatetea wale wajamaa waliokamatwa kwenye bahari yetu wakujichotea rasilimali zetu?
  2. M

    Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

    Kama mwizi ubora unatoka wapi? tusiume na kupuliza kuwa upande mmoja ueleweke.
  3. M

    Ninahitaji Motherboard ya Dell Latitude ATG D630

    Ahsante kwa ushauri mkuu, nimekupata. Nilishasoma hiyo site before, unachokisema inaweza ikawa ni kweli. Lakini nimeshajaribu kubadili moja kati ya power ic's lakini still tatizo liko pale pale, ilikuwa inawka power light na kuzima unapowasha lakini kwa sasa ndo kimya kabisa. nitajaribu...
  4. M

    Ninahitaji Motherboard ya Dell Latitude ATG D630

    Waungwana ninahitaji motherboard ya Laptop, Dell Latitude ATG D630, kama kuna mtu anayo, au anafahamu zinapatikana wapi anijulishe, mpya au used zote zinakubalika.
  5. M

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    Hapo hajakosea kabisa
  6. M

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    Tumpe nafasi, maadam bunge linaendeshawa kwa sheria basi ni hizo hizo sheria zitatumika kumkosoa.
  7. M

    GE2010 Ni Wakati Wa Vitendo: Kadi Yangu ya Chadema Hii Hapa

    Kwa nini iwe kazi? Una wasiwasi atapandisjha Dau?
  8. M

    GE2010 Walio hudhulia Kikao cha Siri Mwanza hawahapa,, Mmoja hajasema kitu

    Naamini Dr Slaa hawezi kufanya kosa, kuitumia hiyo barua kama kielelezo. Hizo ni mbinu chafu tu.
  9. M

    GE2010 Walio hudhulia Kikao cha Siri Mwanza hawahapa,, Mmoja hajasema kitu

    KAma kigezo ni ile barua, ww unashindwa kuitengeneza ile barua? Tujaribu kupanua mawazo. Ule si ushahidi tosha.
  10. M

    GE2010 Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania: Ajifyeka Nyeti Kwa Ugumu Wa Maisha

    Atueleze vizuri ugumu wa maisha unainyofoa, alikuwa anachajiwa siti mbili kwenye gari au ilizidi uzito.Lakini kwa kuwa ni dodoma inawezekana walichomoka pale mirembe.
  11. M

    GE2010 Ni Wakati Wa Vitendo: Kadi Yangu ya Chadema Hii Hapa

    Hapo sijaona vitendo. Nawashawishika kama vile ya kuokota utaamua kufichficha sura.
  12. M

    Mabele Marando aliondokaje Usalama wa Taifa?

    Mh. kwa sasa ni vigumu sana kueleweka ukizingatia kila linapoongewa swala la chadema mbali na kusifia unaonekana mamluki, lakini siku zote ukweli hujitenga na uongo, kinachohitajika hapo ni muda tu. Na safari hii haitachukua muda mrefu saana hili jambo kujitokeza. Naamini M.Marando hatashindwa...
  13. M

    Dr. Slaa ni mbabaishaji na hafai kuwa kiongozi ?

    Hao wapumbavu ndo milkuwa mnawaomba wakupigieni kura.Hivi unategemea watu wote mkawa na mawazo yayofanana?
  14. M

    GE2010 Waraka wa Lowassa kwa vyombo vya habari

    Hizo tetesi hatuna wakati nazo.
Back
Top Bottom