Recent content by mzeesam

  1. mzeesam

    Nahitaji chaji used ya E bike

    Kama unauza CHAJI ya e bike used nambie una aina GANi, ya bolt ngapi na bei gani
  2. mzeesam

    Nimemtafutia kazi bar mke wangu!

    TATIZO LA KAZI YA BAR NJ KWAMBA MFANYAKAZI NI LAZIMA AWE ANATONGOZWA KILA SIKU NA KULA ELA ZA WANAUME NA KULIWA NI LAZIMA.
  3. mzeesam

    Natafuta kazi ya kufanya

    Ni mdada WA 30yrs, mchaga, elimu form four, nipo Mbagala, natafuta kazi yoyote ya kwenda na kurudi, dukani, kiwandani, etc.
  4. mzeesam

    Kazi Ya Mdada

    elimu form four, kazi yoyote kasolo ya bar na ndan, iwe ya kwenda na kurudi
  5. mzeesam

    Kazi Ya Mdada

    Mdada WA kichaga WA 30yrs anatafuta kazi yupo dar mbagala.
  6. mzeesam

    Nina shida ya kupata pikipiki ya KUCHARGE (E bike)

    Nina shida ya kupata pikipiki ya KUCHARGE (E bike) ya mkopo ili niendelee kufanya kazi ya delivery town. mwenye anaweza kunisaidia ANICHECK 0679222414
  7. mzeesam

    MKE AMBAYE NI MFANYA KAZI WA BAR.

    Hahahahahahahaha
  8. mzeesam

    MKE AMBAYE NI MFANYA KAZI WA BAR.

    HIVI UNAWEZA KUMRUHUSU MKEO AKAFANYE KAZI BAR? TENA ANALALA HUKOHUKO WIKI NZIMA, IKIWA TU WEWE MME UMEFULIA KIFEDHA NA MNA MTOTO MDOGO. TOA MAONI YAKO.
  9. mzeesam

    Natafuta kazi

    nicheck 0679222414 mkuu
  10. mzeesam

    Natafuta kazi

    naomba nicheck 0679222414
  11. mzeesam

    Natafuta kazi

    Natafuta kama yoyote hata ya kiwandanj, waiter, barman, office assistant, no.0679222414 nipo dar
  12. mzeesam

    Natafuta ajira

    mchawi mtaji
  13. mzeesam

    Natafuta ajira

    Nipo dar es salaam, natafuta ajira/kazi ya kuniingizia kipato, nina uzoefu wa kuisimamia restaurant, barman, office assistant (messenger), cashier, ama kazi yoyote ile.... hata ya kiwandani 0679222414
Back
Top Bottom