Recent content by mzee wasenta

  1. M

    Uhuni, usela na starehe nilizo wahi fanya kwenye maisha yangu

    Miji midogo ukiwa na issue kama izo unakiwa maarufu kwa muda mfupi
  2. M

    PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

    Anatutesa "Mama wa kambo" Anachukua Kila kitu chetu anawapa watoto wake, anatuchapa tukisema
  3. M

    Kikwete na Samia, vinara wa maendeleo, demokrasia na amani tanzania

    Dah! Binadamu ni kiumbe mbinafsi sana. Komredi unajali tumbo lako tu! Kwa kikwete big yes! Kwa mama yetu Samia ameonyesha tabia za mama wa kambo.
  4. M

    JamiiForums Usiku wa manane

    12:20
  5. M

    Madhara ya kukimbia Match ya Derby yashaanza kuonekana

    Bado tunajenga timu😹
  6. M

    Uamuzi wa TANESCO Mbeya kukata Umeme mkoa wote siku nzima Jumapili wakati wa ziara ya Lissu ni tukio la kinasibu au hujuma ya Kisiasa?

    Ipo sawa hakuta kuwa na umeme ivyo hatuta kuwa na kazi zinazotegemea umeme. Ivyo wananchi twendeni tukaione, tukasikilize chadema na lisu
  7. M

    Simba haikufanya mazoezi uwanja wa Jamhuri Morogoro ikapoteza mechi muhimu

    Ivi ile BM coach ilikuwa inaenda wapi? na ilikuwa imembeba nani?
  8. M

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    vp nimeomba kuunganishiwa huduma ya umeme,nguzo ipo karibu lakini Sasa ni zaidi ya siku 7 sijaunganishiwa umeme Tanesco nyakato nimelipa kwa control number, mwanza. Naomba msaada au maelekezo
  9. M

    Nini Sababu: Mume amehama ghafla na kwenda kupanga bila ugomvi wala maelezo yoyote

    Umenikumbusha kisa Cha jirani yetu Nikiwa Bado chalii mdogo Kuna mzee jirani alikuwa anafanya biashara sokoni na mke wake alikuwa mama wa nyumbani. Siku moja mzee aliondoka nyumbani kama anaenda kufata mzigo pori yaani kabeba kabegi kadogo ka nguo, ila ndo ilikuwa moja kwa zote hakuja Tena...
Back
Top Bottom