Wapinga rushwa na ufisadi hawana msimu. Chama kinapokuwa chini ya presha, mtu mwenye taswira ya usafi na uthubutu anaweza kuwa turufu kubwa. Magufuli aliingia uchaguzi wa 2015 akiwa na ajenda iliyosisitiza mapambano dhidi ya rushwa na akaibeba CCM katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkubwa.
Kadiri ninavyomtazama Kafulila, naona anafanana zaidi na Sokoine kuliko Magufuli, hasa kwenye suala la kupambana na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma. Sokoine alijenga jina kwa kutowavumilia wahujumu uchumi na wabadhirifu wa mali za umma. Huo uthubutu wa kusimamia uadilifu ndio ninaouona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.