Recent content by MZEE NGAO 08

  1. M

    Series (Special thread)

    Hii kazi inahusu nini mkuu Inahusu nini naona wadau wengi wanaishi nayo
  2. M

    Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    nipeni utaratibu wa kujiunga na mfumo wa mapindi maana mchana ofisi inanibana sana Nataka nipige degree
  3. M

    Series (Special thread)

    Bi mkubwa mpambanaji sana aisee
  4. M

    Series (Special thread)

    Griselda pia iko poa sana wakuu
  5. M

    Series (Special thread)

    wakuu kwema embu nipen information za kushusha movie telegram shukran
  6. M

    Series (Special thread)

    Nashukuru mkuu Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  7. M

    Series (Special thread)

    Nkiri inashida gani? inagoma kushusha mzigo anayeju chimbo lingine anise msaada ili niweze kushusha hata series moja Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  8. M

    Series (Special thread)

    Wakuu naweza vipi kudownload movie telegram. Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  9. M

    Series (Special thread)

    huu mzigo unaonekana mkali mkuu Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  10. M

    Series (Special thread)

    Mimi sijaona kosa la mshikaji mpaka mfikie maneno kama haya kwakuwa kila mtu ana mapenzi yake na kila mmoja ana kitu ambacho kinamvutia hivyo atazame zilizotafsiriwa ni yeye cha msingi si amecheki maniadje Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
  11. M

    Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

    Dah!! Pole sana mkuu ila ilo mbona swala dogo sana wewe ndiyo unafanya liwekubwa sababu bado unampenda na yeye anajua unampenda ndiyo maana unaumia Fanya hivi jichanganye na washikaji, kula msosi safi na vimazoezi kimtindo alafu tafuta pisi ambayo haina mambo mengi maana wachumba wapo wa...
  12. M

    Series (Special thread)

    Nimejuta kuishusha SILO haijanivutia kabisa na wala sijaelewa hii series naona imekaa kishamba sana bora niendelee na MANIFEST yangu
  13. M

    Series (Special thread)

    Kunakazi naicheki hapa ni single inaitwa FLOOD Iko poa sana
  14. M

    Series (Special thread)

    wakuu kunamzigo unaitwa MANIFEST, Dah!! huu mkwaju sio poa story kali sana
  15. M

    Series (Special thread)

    Umefurahi mama mkwe
Back
Top Bottom