Recent content by Mzee Mwanakijiji

  1. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Kuhusu ICC, tumuulize mrejesho Mzee Mwanakijiji

    Pole sikuwa nakujibu wewe..ni yule aliyesema juu ati mimi ni mtu wa system. Niwie radhi. Suala la Tanzania linajulikana vizuri ICC. Kama nilivyosema hapo juu wanataka kuhakikisha mashtaka ni air tight. Wasije kucompromise the investigation. Ama sivyo wanaweza kuharakisha na baadaye watu...
  2. Mzee Mwanakijiji

    Jaji Masaju: Tusiruhusu Taifa letu kutawaliwa tena na Wakoloni

    Inahusiana na ICC...wanatuandaa kisaikolojia...mashtaka ya ICC yakitoka tutaambiwa tuandamane kupinga ukoloni mamboleo
  3. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Kuhusu ICC, tumuulize mrejesho Mzee Mwanakijiji

    Mzee siyo kile unachoweza kutuhumu bali unachoweza kuthibitisha. Serikali ya CCM haibishi kutokea kwa mauaji...wanachojaribu kufanya ni kuonesha kuwa siyo wao...
  4. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Kuhusu ICC, tumuulize mrejesho Mzee Mwanakijiji

    Bado hawajatoa warranty...wanatengeneza kesi kwanza
  5. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Kuhusu ICC, tumuulize mrejesho Mzee Mwanakijiji

    Hii ni dalili ya ugonjwa fulani.
  6. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Kuhusu ICC, tumuulize mrejesho Mzee Mwanakijiji

    Ndugu zangu najua tungependa tuone mambo yangetokea jana. ICC wanafanya kazi slow lakini methodical. Kitu ambacho hawataki kitokee ni kuwa watu basement "hatukupewa haki ya asili ya kujitetea". Ni kawaida ICC kufika kwenye nchi husika, na kupanga utaratibu wa wao ICC kusikia wananchi. Wanaweza...
  7. Mzee Mwanakijiji

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tumeyasikia tuliyoyasikia, tumeyaona tuliyoyaona, na yale yenye kuleta hofu yameshaleta hofu. Hadi hivi sasa hakuna chama cha upinzani kilicholipa gharama kubwa ya kudai mabadiliko Tanzania kama CHADEMA. Vipo vyama vingine vya "upinzani' ambavyo kwa kila kipimo vimekubali...
  8. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Lakini wao hawaoni ulazima wa kuwa na uchaguzi mwingine; kwani ule mwingine ulikuwa na matatizo gani?
  9. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Hivi kuna sababu na maelezo gani ya msingi kuhalalisha mauaji ya watoto OCT 29?

    Mzee labda wengine walishajibu; zimetolewa sababu kubwa mbili 1. Walikuwa wanaharibu na kuvunja miundo mbinu ya umma na kufanya uharibifu 2. Walitaka kwenda Ikulu kuipindua serikali. Hizo ndizo sababu za kuwaua watoto waliokuwa wakiangalia mpira kule Mwanza.. na wengine...
  10. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Na mara nyingi ni kana kwamba, kuna watu wanaona kama wanatawala bila kutakiwa; wanataka watu wawakubalie kuwa ni watawala halali. Labda wana mashaka ni uhalali wao. Lakini pia maridhiano yanaweza kutengeneza formula ya serikali ya mseto ili kwamba huko mbeleni na wao wasiwe nje ya madaraka in...
  11. Mzee Mwanakijiji

    Dk. Mbunda: Tunapaswa tuketi makundi yote mezani na hapo maridhiano yatakuwa na sura ya kitaifa

    Ndiyo upuuzi wenyewe huu; makundi gani, yalikosana nini hadi yote yaje mezani...
  12. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Mzee mwenzangu; ndio maana nimesema ni swali linalojirudia rudia... maana hakuna jibu la kuridhisha limeshatolewa. Na hawa Watanzania ni watanzania gani hawa maana ukiangalia Watanzania wenyewe huku mitaani walishatoka maisha yanaendelea... watu sasa hivi wanawazia AFCON 27
  13. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Kwa hiyo unataka waridhiane wenyewe kwa wenyewe? Sasa itapendeza vipi...
  14. Mzee Mwanakijiji

    PostGE2025 Swali Linalojirudiarudia: Kina nani Wanataka Maridhiano na Kwanini?

    Uuh.. uuh.. sasa hutaki au waliouawa ni kina nani?
Back
Top Bottom