Watu tunachanganywa sana kuhusu TICTS wanachanganya mambo mawili kwa pamoja, la kwanza ni mkataba huo unamanyaunyau mengi harufu ya ankara imetanda lakini swala la pili kuhusu msongamano wa mizigo kwa mtizamo wangu na uzoefu kidogo nilionao kuhusu port yetu ni kwamba mzigo unapokuja unakuwa...
Je kuna ukweli kuwa Kikwete ni wanahisa wa kampuni ya Caspian inayonilikiwa na Rostam Azizi? ikumbukwe kuwa sasa Caspian imepewa tenda ya kutoa kifusi kwenye migodi ya barrick
big up kadampinzani wabunge wengine hawajui wako wapi wanakwenda wapi na pia ukae ukijua huyu mbunge aliyesema Ndugai anajikomba komba kwa serikali ili apatw ulaji ndio mana ansema hivyo coz siunaona anakaaaga kwenye kiti cha spika wakati hayupo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.