Recent content by Mzalendohalisi 69

  1. M

    Vyama 11 vya upinzani Burundi vimeunga mkono uteuzi wa Ndayishimiye kuwa mgombea uraisi ajaye

    Burundi tatizo kubwa la umaskini ni land pressure! Burundi ina watu milioni 13 na sawa na eneo la Wilaya ya Nzega
  2. M

    Msaada Kupata Schengen Visa

    Hongera umeongea vema je Una elimu gani na utaalamu gani?
  3. M

    Hii ndio sababu Rwanda yenye eneo dogo inatabiriwa kuipita Tanzania kimaendeleo na kijeshi kufikia 2050, endapo Tanzania haitabadilika

    1. Eneo la Rwanda ni sawa na eneo la wilaya ya Nzega! 22,000km eneo la Rwanda vs 945,000k Eneo la Tz.. yaani Rwanga hamsini ndo unapata eneo la Tz! 2. Rwada ina watu milini 14 wakati Tz ina watu milioni 70
  4. M

    Pesa za Serikali Zinatoka Wapi? Uchambuzi wa Bajeti ya Tanzania vs Kenya (2026/27)

    Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi 1. Gari moja tu shangingi ni milioni 500 na anakaa mtu mmjoja na drereva wake! 2. Kuendesha kesi kama ya Lisu ni pesa za kodi....amabazo zingifanya kazi nyingine! 3. Kulipia wabunge 80 Wazanzibari wanawakilisha watu milioni 1.8 wakale bata Kule Dodoma kwa miaka...
  5. M

    Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

    Acheni kudanganya watu wenye akili
  6. M

    Hasara ya billion 191 ya Air Tanzania ingetosha kuajiri waalimu elfu 30 kwa mwaka kama uongozi ni kukopa wapewe wamama wa vikoba Wana management nzuri

    Pole hebu fikiria Wabunge 80 wanatoka Zanzibar kula bata Dodoma kuwakilisha watu milioni 1.8 Wazanzabari! Dar ina watu milioni 7 ina wabunge 14! Ni mambo tu ya upumbavyu tu kwa Tanganyika!
  7. M

    Je, Wachagga na Wamasai ni ndugu moja?

    Wamasai ni Wamasai na Wachaga ni Wachaga! Kwa nini Wamasai wanataka kusema ni sehemu ya Wachaga?
  8. M

    Waziri kombo Amwakilisha Rais Samia ufunguzi wa mkutano wa 28 wa jumuiya ya Madola

    Bado anaona aibu mauaji Oct 29 kwani ni lazima ang'ang'anie mamlaka?
  9. M

    Duniani kote nadhani Israel ndio nchi yenye watu/wananchi wenye uelewa mdogo zaidi

    Israeli ina watu milioni 10 na pato la GDP dola bilioni 550. GDP yao ni kubwa kuliko taifa lolote katika bara la Africa. South Africa in watu milioni 70 na ina GDP dola kama bilioni 500 hivi kwa mwaka! Je Israeli ni Taifa la watu wajinga? Hapana tumia tu takwimu kujenga hoja!
Back
Top Bottom