nimesoma makala vizuri, kuna mengi mheshimiwa ameyaandika,
hili la kuzungumza jinzi akina J J Mnyika na Mdee kwenye chadema, ina lengo la kuwajenga ? au ndio kuwabomoa. watu waone kuwa kumbe ni watu walioingia chadema kwa kusit sita, kwa hio ni maopportunist.
mheshimiwa sidhani kama ni sawa...