Recent content by Mynah -lee

  1. Mynah -lee

    Niulize Chochote kuhusu kazi za viwandani

    mm natak kazi vibarua mkuu z viwandani
  2. Mynah -lee

    Nifanye nini ikiwa matokeo yangu hayapo NACTE na sijathibitishwa?

    Naomba mnisaidie nini tufanye ikiwa darasani kwetu karibia wanafunzi wote wa diploma hatujawa verified NACTE. Chuoni tunajitahidi kufatilia tunaambiwa tusubiri tu mpaka dirisha lifunguliwa na wakati mwaka huu tunataka tu apply degree. Naomb msaada wakuu hakuna namna nyengine au ndo mpaka chuo...
Back
Top Bottom