Recent content by Mwizukulu mgikuru

  1. Mwizukulu mgikuru

    Shehe Muharram Mziwanda akabiliwa na tuhuma nzito sana

    Hili ni bifu na hizi shutuma za uongo tena uongo mkubwa
  2. Mwizukulu mgikuru

    Kama wewe Ni mtoto wa kiume Tena mpambanaji huwezi kufurahia kifungo cha Lissu....

    Sijui lakini Kwa Maono yangu namuona Ni mwanaume mpambanaji, nilisikia Ni Wakili wa kujitegemea aliesimamia Kesi nyingi Sana Hasa zilizokuwa zinahusiana Na Mambo ya madini, lakini pia alipambana pia mpaka akawa mbunge Kwa miaka kadhaa..
  3. Mwizukulu mgikuru

    Kama wewe Ni mtoto wa kiume Tena mpambanaji huwezi kufurahia kifungo cha Lissu....

    Jela, Maradhi, kufirisika kunaweza kumkuta yeyote Yule Hasa Sisi watoto wa kiume tuliokamilika..."watch your step bro" usikenue Meno Kama mpumbavu..
  4. Mwizukulu mgikuru

    Kama wewe Ni mtoto wa kiume Tena mpambanaji huwezi kufurahia kifungo cha Lissu....

    Wapambanaji tunapitia Mambo mengi Sana Hasa katika utafutaji, kumbuka gereza Halina mwenyewe.muda wowote unaweza ule unaweza kuwa mahabusu au mfungwa, ngoja niwape kisa kimoja kilichotokea mwaka 2017. Kuna Jamaa yangu alikuwa Ni Askari Polisi huko Kanda ya ziwa, huyu jamaa alipata ajira akiwa...
  5. Mwizukulu mgikuru

    Kambi ya wakimbizi Nyarugusu ni kiwanda cha nyota wakubwa

    Ernest kanamugire, aufbau, mzee wa rocket, bila kumsahau kintumpunywelo mzee wa nyarugusu
  6. Mwizukulu mgikuru

    Mungu atuepushie mbali kupata mke jamii ya mke wa lissu

    Usichokijua Ni Sawa Na usiku wa Giza...
Back
Top Bottom