Recent content by MwinjachijingaOG

  1. MwinjachijingaOG

    Ushuhuda: Nimedhulumiwa na kampuni ya Sunranch

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. MwinjachijingaOG

    Natafuta wadau wa kuendesha shindano la watu wenye sura mbaya kwa jiji la Dar es Salaam

    Husika na kichwa cha uzi hapo juu. Natafuta wadau wa kushirikiana nao kuendesha shindano la WATU wenye sura mbaya Tanzania mkoa wa Dar es salaam. Fomu zinapatikana BUREE. Mshindi atapatiwa zawadi, milioni 10 (mfano) Wadhamini njoeni. Faida za shindano: 1. Tunatambua na kuthamini uwepo wao...
  3. MwinjachijingaOG

    SoC03 Wazee wote wapewe pensheni kwani walilitumikia taifa

    Hakika hakika Tanzania ikizingatia hili tutasonga mbele
  4. MwinjachijingaOG

    Unaweza kuchagua marafiki ila sio ndugu.(you can choose your friends but not family).

    Simulizi fupi imejenga picha flani kichwani #Game of mind,so fun!#
  5. MwinjachijingaOG

    Maisha yanasikitisha at the same time yanafurahisha..

    Noma sana,[emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
  6. MwinjachijingaOG

    Uzi maalumu kwa wenye ndoa

    Ndoa ni kwa wenye akili tu,mambumbu hawawezi kuishi na kudumu kwenye ndoa... Ahsante mungu kwa kuniumba mwanaume.
  7. MwinjachijingaOG

    Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    Asee Kuna la.kujifunza hapa Sio kununua viwanja tu huna budi siku unanunua na ujenzi KUANZA siku hyohyo
  8. MwinjachijingaOG

    Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

    Asee pole Sana Hiyo kitu sikia t usiombe ikukute... Yalishanikuta,nmeshasahau na yameshapita tayari.
  9. MwinjachijingaOG

    Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Umeua kabisa yaan Njoen wapinga ndoa mjitete tuwajue kwa makundi yenu
  10. MwinjachijingaOG

    Tuacheni Kujipa Moyo, Ndoa kwa Kizazi cha Sasa ni Gereza la Mateso

    SWADAKTA[emoji106][emoji106][emoji106] Umesema kweli Robert Heriel Andiko Zima kasoro matusi machache uliyodokezea nakubaliana naww Kijana Kama unataka kuoa kubali kuwa na mtizamo wa kizamani ktk mazingira ya kisasa.
  11. MwinjachijingaOG

    Je, unakubali ndoa au unakataa?

    2 [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Back
Top Bottom