Recent content by Mwime Agule

  1. M

    Mwanaume kama huna Pesa "huthaminiki"!

    Takataka na mbwa ni wewe fullstop
  2. M

    Mwanaume kama huna Pesa "huthaminiki"!

    Wewe ndo takataka na mbwa unayetafuta pesa Ili umiliki wanawake,,
  3. M

    KERO Wafanyakazi wa Tandabui Polytechnic Institute, Mwanza hatujalipwa maslahi yetu mwezi wa tatu sasa

    Pumbavu kabisa kudai haki Yako Hadi upaziwe sauti na watu wengine???? Mbona wasomi mnakuwa hopeless kiasi hiki???
  4. M

    2035, Uislam utakuwa dini kubwa zaidi duniani ikiipiku Ukristo

    Ujinga mtupu,, haya matarajio yalikuwepo hata wakati wa Dola ya Ottoman,, lakn wapi,,,Tuishi Kwa kuheshimiana huku tukijenga jamii yenye umoja na mshikamano tusiwe maamuna/ makutano wa Dini za watu
  5. M

    Kelele za Katiba mpya zinatoka kwa watu wasiozidi 100 tu. Tuwe makini na vipaumbele vya wananchi

    Kwa hiyo hapa wewe ndo una akili nas creativity?? Damn fool
  6. M

    Kelele za Katiba mpya zinatoka kwa watu wasiozidi 100 tu. Tuwe makini na vipaumbele vya wananchi

    Kwamba hata waloiandika kwenye ilani ya CCM hawazidi 100??? na hao waliopiga kura Kwa mamilion Kwa mjibu wa tume ya Mwambegele nao hawazidi 100 ?upumbavu na uchawa unawaharibu vijana ambao Taifa limetumia Kodi za wanyonge kuwasomesha!!
  7. M

    PostGE2025 Hakutakuwa na Uchaguzi tena Tanzania kama TISS hawataamka

    Inchi hapewi mtu wananchi ndo wanatakiwa kuamua nani wa kuwaongoza kupitia sanduku la kura
  8. M

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Hili lipo wazi kabisa sioni sababu ya haya Mambo minor kupoteza muda na rasimali za nchi na kesi za kijinga hizi
  9. M

    PostGE2025 Dkt. Nshala: Tume ya Jaji Lila ni kutaka kuwasafisha watawala haramu wa Serikali ya Samia na kuwabambikia wengine mauaji ya Oktoba 29

    Maisha siyo fair kabisa Elite wa Harvard university anadharauliwa na Chawa wa Tegeta nyuki,,,, siasa ni mbaya sana inapoteza utu na heshima ya mtu,,, MUNGU anisaidie niridhike na hiki kidogo nachokipata kwenye mihangaiko yangu
  10. M

    Tujikumbushe Wasukuma waliowahi kucheza soka

    Masatu ni jina la kijita acha ubishi
  11. M

    CCM hamtawaweza walahi. Hiyo Kete ya Dudu baya na magenge mengine kama imewachota kirahisi hivyo sijui kete zingine

    Mleta uzi anawaita watanzania wajinga wakati yeye ndo mjinga,,, yaani hata ule mwamko wa Oktoba anaona kawaida tu,, mpuuzi kweli,,, badala ya kuwashauri hao CCM kureke
Back
Top Bottom