Chukua Combo ya Sauvage+My way,au tumia One Million au Strong with you,Pia kuna ya Kiarabu inaitwa RASHIQA ni nzuri Sana kwenye joto,mie nipo Dar na nina collection nyiiiingi Sana za perfumes but hizo nilizo kutajia nzuri sana.
Mkuu hiyo Club de Nuit harufu yake ni Creed mtupu,niliinunua baada ya kuachana na Creed,yani nilipoitumia siku hiyo nikampa wife ampelekee mshua wake kijijini,yani ni Creed iliyo korogwa korogwa.
Mimi Creed aventus imenishinda ingawa niliinunua kwa bei kubwa aise,yani nimeishia kumpa binti yangu wa chuo,Nimebaki na collection zangu za kizamani One Million+Blue De Chanel+Sauvage na hivi karibuni nimeongeza Strong na Reef 33 na Imagination ya L.Vuitton.
Ila natafuta za kiarabu kama 2 hivi...
Una uhakika mkuu?au Zambia gani waongelea wewe?labda vijijini,ebu shuka tu pale jijini Lusaka chukua chai na mkate,angalia chai ilivyo nzuri na mkate, imagine huyo ni mama ntulie wa kawaida Tu,vipi migahawa?
Siku moja nilikuwa kwenye daladala(kipanya)natoka maeneo ya state area nakwenda mjini,nashangaa gari zima anayejua uingereza ni mmoja mdada fulani hivi,yani konda hajui kingereza na abiria wengine pia hawajui,na nilikuwa naulizia kituo fulani hivi cha kushukia kabla ya kufika town Kati,by the...
Bagamoyo is the BEST,naishi Bagamoyo Nia Njema,nafanya kazi Chang'ombe.From monday-friday nakuwa kazini(driving every day)Sat-Sun nakuwa Shambani kwangu kwenye mananasi Kiwangwa na msimu wa mpunga nakuwa shambani Ruvu kwenye mpunga.Nina heka 5 za mpunga ambazi zinaendesha familia kwa chakula cha...
Ulikuwa huna kazi nyingine za kufanya?au wadhamini walikudhamini? siwezi fanya jambo hilo eti nikatilii,lakini sawa sii uliamua mwenyewe bhana😔,hiyo pesa sii ni bora ntafute demu wa Masaki!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.