Recent content by mwayena

  1. M

    Haihitaji kuwa genius kutambua Lema hayuko sawa

    Ni kweli nimemuangalia akizungumza..hayuko huru. Sio yule wa 2010....
  2. M

    Simba kuifunga Yanga mara moja tu kusitumike kumfukuza Mangungu. Serikali inusurini Simba.

    Wenyewe wako blinded sana kwa sasa, hawamuelewi mangungu..wanasema sio m/kiti wao.😀😀😀
  3. M

    Si Timu za Akiba! Serikali Yajibu Wasiwasi wa Mashabiki Kuhusu Timu za Bayern Munich na Ajax Zitakazokuja Nairobi

    Na wetu achangamkie fursa hiyo adhiiiimu.😀awalete arsenal tufungue kule Arusha Kwa mbwembwe na bendera nyingi sana za chama...atapunguza nzi masikioni kwa siku mbili tatu🚶🚶🚶🚶.watanganyika hawaelewi sahivi.🤔🤔
  4. M

    Msaada: Najitoaje katika kifungo cha hasira, vurugu, ukorofi?

    Umejaribu kuwapenda kushirikiana nao watu wabaya.hujamtambua tu mtu mbaya mpaka kuwaita wengine wabaya????una tatiso kubwa
  5. M

    Wakuu tutubu na kuiamini injili

    Siku utayomjua Mungu utaacha kumuamini.
  6. M

    Wakuu tutubu na kuiamini injili

    Jitahidi uwe na maarifa nje ya hiyo Imani yako.siku ukimjua Mungu utaacha hizo Imani ulizopandikizwa kanisani kwako.
  7. M

    Mwanafunzi wa UDOM aihoji Bodi ya Ithibati kwanini Vyombo vya Habari vya Tanzania haviaminiki tena na wananchi? Nani anapaswa kuwajibika?

    Viongozi wakidharau,wakiua,wakitukana wananchi,wakiwavua utu wao..wewe mkosoaji inatakiwa uje usemeje?
  8. M

    Katambi: Serikali haiteki, haipotezi mtu. Serikali ina wajibu wa kusimamia haki

    Body language,facial...havina uwiano.anajibu swali mpk anameza mate🥺sijui wanalenga kumdanganya nani huyo🙄
  9. M

    Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

    Watu mna mahaba sana..tumieni akili sasa hisia wekeni pembeni.
  10. M

    CHADEMA, chagua Moja kukumbatia wasaliti au Wananchi!

    Usaliti ni mavi sana,watu wanapotea,where is wenje?
  11. M

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    ,Leo hahahahahahahaha, Era yenu inaisha dakika moja ijayo..hehehehehehe HATIMAE CHAMA LANGU
Back
Top Bottom