Recent content by Mwathirika

  1. Mwathirika

    Msaada jinsi ya kurudisha email yangu

    We nawe usilete kujua, email NA Facebook vinafananaje? Kama unatumia FB tu, maanaake huna LA maana unalofanya duniani
  2. Mwathirika

    Msaada jinsi ya kurudisha email yangu

    In miaka mingi, mara ndo pekee unaitumia, hujui hata unachohitaji. Unapotaka kurudisha hakuna uchawi isipokuwa kufuata maelekezo wanayotoa yahoo. Kama Ku hack account yako haina thamani hiyo, kwani kama mpk inafungwa, kitu ambacho hakipo pia, hakuna kufungwa kwa account isipokuwa wanajaribu...
  3. Mwathirika

    DC Mwanga amweka DAS mahabusu na DC Chemba amcharaza viboko mzazi wa mtoto aliyevunja gari lake

    Ovyooo! Imeandikwa amemcharaza mzazi we unasema mtoto! Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  4. Mwathirika

    Halotel kwa Sasa haifai kabisa

    Yote yanafanana lakini kuna wizi unafanyika, MB zinasagika kwa speed ya rocket, aidha wanadanganya kukupa MB 300 kumbe wanakupa 140 tu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mwathirika

    Ex anapokutafuta jua huko aliko limemfika

    Limemika ndo nini? Huyu Oni Sigalla!
  6. Mwathirika

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    Nani anaijibia serikali humu, wakala? Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  7. Mwathirika

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    Which are those "much" information? Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  8. Mwathirika

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    Suala siyo kuitumia, viwango vyake, hata kama ni mpya. Hizo ndege 20 za make hiyo zina matatizo Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  9. Mwathirika

    Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Hawa ni wasimamizi wa wizara na mkubwa wao ni waziri mkuu, huwezi kuwatofautisha kwa wizara zao! Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
  10. Mwathirika

    Tahadhari video inatisha: Dada huyu alifanya nini hadi kutendewa haya?

    Una maana gani? Itakuwa video bila kuwa recorded?
Back
Top Bottom