Recent content by Mwanantogakulya

  1. M

    KERO Afisa Ardhi wa Maswa amekaa muda mrefu kituoni hapo, ufanisi wake umeshuka

    Afisa Ardhi wa Wilaya ya Maswa amekaa wilayani humo kwa miaka 24 na ndiye chanzo cha migogoro ya ardhi Serikali inatakiwa kumbadilishia kituo cha kazi, kwani amekuwa kikwazo katika baadhi ya mambo mengi ya kiutendaji kiasi kwamba inaonekana kila kitu kinafanyika kwa vile anavyotaka na sivyo...
  2. M

    HALMASHAURI KUU YA CCM MASWA OKTOBA 3,2026 HAYA YANAWEZA KUTOKEA.

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Maswa cha tarehe 3 Oktoba 2026 kinaweza kuwa na uzito mkubwa kisiasa ndani ya chama, lakini si sahihi kutabiri kwamba lazima kitamwondoa au kumbakiza Efreim Kolimba ambaye ni Katibu wa CCM aliyekataliwa na Wajumbe wa kikao hicho. Katiba ya CCM inaweka...
  3. M

    UTPC yaua klabu za waandishi wa habari za mikoa?

    Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) unakabiliwa na maswali kuhusu mustakabali wa klabu za waandishi wa habari za mikoa, huku baadhi ya wanachama wakieleza kuwa utegemezi wa muda mrefu kwa umoja huo umechangia klabu hizo kudhoofika na kupoteza uwezo wa kujiendesha zenyewe...
  4. M

    Manara: Katiba ni ya Watanzania Si ya Kina Heche

    Huyo naye kitimoto hana hoja
  5. M

    Lissu haponi kesi hii

    Hukumu ni lazima itoke lakini si kama unavyoweza kufikiri wewe
  6. M

    Malisa: Wakili Madeleka amekamatwa na watu waliojitambulisha ni polisi

    Yaaani polisi konstebo anamkamata Mkaguzi hii ni hatari!
  7. M

    Wakulima Maswa waonywa kuuza pamba kwa mkopo

    Maswa, Simiyu: Wakulima wa pamba wilayani Maswa wameonywa kutokubali kuuza pamba kwa mkopo, bali wahakikishe wanalipwa fedha zao mara moja baada ya kukabidhi zao katika vituo vya ununuzi. Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Maswa, Lukas Kuwingwa, amesema taasisi hiyo iliingilia kati baada ya wakulima wa...
  8. M

    Waziri wa Ardhi njoo Maswa kuna madudu mengi

    Mheshimiwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, wananchi wa Wilaya ya Maswa wamepokea kwa masikitiko taarifa ya kuahirishwa kwa ziara yako. Wengi walikuwa na matumaini makubwa kuwa ujio wako ungekuwa mwanzo wa kupata ufumbuzi wa migogoro ya ardhi inayowatesa kwa...
  9. M

    Siasa za misiba jimbo la Maswa Mashariki hazipaswi kuwa mtaji wa kisiasa

    Kusaidia familia iliyofiwa ni jambo la ubinadamu na linapaswa kupongezwa. Hata hivyo, pale misiba inapogeuzwa kuwa uwanja wa mashindano ya kisiasa na njia ya kujijengea umaarufu, ni wakati wa wananchi kujiuliza kama huo ndio uongozi wanaouhitaji. Swali la msingi ni hili: Kwa nini nguvu na...
  10. M

    Aliyeozesha mwanafunzi kwa ng'ombe 15 azitema

    MKUU wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dkt. Vincent Anney ameongoza juhudi zilizofanikiwa kuvunja ndoa ya kimila iliyokuwa imefungwa kati ya Mahene Kulwa na mwanafunzi aliyekuwa amechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka huu, baada ya kubainika kuwa aliolewa kwa mahari ya ng'ombe 15. Tukio...
Back
Top Bottom