Recent content by mwanamama

  1. mwanamama

    Katt williams clips

    This is old but very funny!
  2. mwanamama

    Katt williams clips

    Check this out too!!!
  3. mwanamama

    Katt williams clips

    Enjoy Lakini hakuna part 5, Kush Comedy wameiondoa youtube.
  4. mwanamama

    Bhoke Munanka, Waziri wa zamani wa Nchi ofisi ya Rais akishughulika Usalama, afariki

    Napenda kutoa Pole kwa Dhati kwa wote walioguswa na Msiba Huu.Mengi yamezungumzwa hapa,lakini Waungwana Chonde chonde,tuwe na Ustaarabu wa kuheshimu waliotangulia,si vyema kuandika mambo ya Uzushi na Hisia bila ya kuwa na uhakika na kile unachoandika.Take Five Kaka Jasusi,nimefurahi kwa msimamo...
  5. mwanamama

    Ogopeni Shoprite Kamata,,rombo Bar Sinza,,millenium Tower Wezi!!!

    Nadhani solution ni ku-boycott these places. Hakuna mtu yoyote kwenda kufanya biashara katika hayo maeneo. Basi na wakae na bidhaa zao mpaka watakapoona umuhimu wa genuine business na kuheshimu wateja wao. La sivyo itakuwa ni mchezo huo huo tu kila siku. It is very annoying.
  6. mwanamama

    Zinapatikana Wapi JF T-shirts?

    Mwanakijiji, Hizo T-shirts zinasema JAMBOFORUMS!
  7. mwanamama

    Zinapatikana Wapi JF T-shirts?

    Ndugu wana Jamii naomba Msaada wenu,Nimekutana na baadhi ya watu wana T-shirts za JF,nimejaribu kuwauliza wamepata wapi na jibu lao ni kwamba T-shirts hizo zinagawiwa bure kwa Members wa JF.Nilishindwa kuendeleza Mjadala huo kwa sababu sehemu tuliyokuwepo,haikuwa muafaka kwa mazungumzo...
  8. mwanamama

    Wimbo Gani Umekukaa Kichwani Leo....

    LIKE YOU'LL NEVER SEE ME AGAIN - Alicia Keys Mmmh!!
  9. mwanamama

    CUF watishia kujilipua

    Mh kuna kaharufu huko CUF, kuna mtu tu anataka kuwafanya CUF waonekane kama Terrorists, sasa kwa akili hii ndio wataweza kuongoza nchi kwa kweli. Hebu fungueni macho ninyi, nchi inauzwa nyie mnapoteza muda wenu kutaka kujiua, ili nani aumie sasa? ama kweli!!!!! GIVE THEM THE LONGEST ROPE AND...
  10. mwanamama

    Public Debate on Land Grabbing in Tanzania

    Mama, I hope this is just a bad joke. I read the full story, but I'm still dumbfounded.
  11. mwanamama

    Jk-msijali Kuitwa Mafisadi!

    Mashoo, nakubaliana na wewe kabisa, kwa sababu hakuna humu duniani raisi wa nchi hajui kuwa nchi inauzwa kwa miaka 50 kimkataba. Inasikitisha sana kuona kuwa kuna watu wanam-support eti kafanya vitu vizuri. Safari ni ndefu sana Africa, haswa kwa Tz.
  12. mwanamama

    China defends arms shipment to Zimbabwe

    Wachina ni namba moja kwa kuuwa Waafrica, take a closer look on what is happening in Sudan! It is so sad watu hao hao sisi ndio tunawauzia nchi yetu. Tuna kazi WADANGANYIKA!
  13. mwanamama

    Kampuni ya madini yafanya unyama wa kutisha

    inasikitisha sana kwa kweli nchi wanavyopewa watu wa nje na wazawa wanaachwa kufa njaa tu! JK kazi yake ni kusafiri tu, najua hili ni jambo dogo sana kwake yeye JK, lakini wanakijiji hao hao ndio waliompigia kura na kumpa hicho cheo, basi na awaangalie aache hiyo siasa ya kusema kuwa hana habari...
  14. mwanamama

    Rostam Aishtaki Mwanahalisi

    OMG, Huyu ana lazima gani ya kuonekana kama yeye ni mtu safi wakati sio safi? Anataka nini haswa? uraisi? Basi sasa ndio kachemka kabisa! Na itambidi azitumie hizo billions zake za Richmond ili kuhonga waandishi wote waliobaki Tz wasimwangaze uchafu wake! Tanzania tumeingiliwa kweli na uzungu...
  15. mwanamama

    Chenge ajiuzulu!

    Ndugu MWANATANU, are you serious?? I hope you are just kidding! Kwa kufikiria kwako wewe unafikiri JK hayumo umo? Hapa tunazunguka tu, hawa wezi walipokuwa wakiiba yeye alikuwa anaona na ananyamaza kimya or worse he's into it too. Na kama alinyamaza kimya, it doesn't make him right, he is very...
Back
Top Bottom