Recent content by mwanahisabati

  1. M

    Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

    duh hatari sana kupaua ni noma aisee asikwambie mtu
  2. M

    Tuunganishe Ukerewe na nchi kavu

    wakifanya hivyo watatukosea sana maana makabila karibia yote kutoka mkoa wa mara ni wakorofi sana
  3. M

    Tuunganishe Ukerewe na nchi kavu

    Ukerewe asili yake sio Mara kama hujui ni bora ukakaa kimya mkuu
  4. M

    Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    uwanja wa mpira Dodoma utajengwa sehemu gani? Nala au Nanenane?
  5. M

    GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Bro acha tuisome namba tu maana hivi vifaa sasa hivi havishikiki
  6. M

    Shilingi hiyooooo yaporomoka

    Kuna mdau mmoja humu alishatoa angalizo kwamba tusipoangalia hadi kufikia march dollar itafikia 2,500 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Israeli

    Nice thread
  8. M

    Kwa tabia hizi za mtumishi mwenzetu, anaweza kuwa anafanya kazi Usalama wa Taifa?

    Swali langu kwa mtoa mada? Ww umejuaje kuwa taarifa znaenda usalama wa taifa?
Back
Top Bottom