Recent content by Mwanahabari wa Taifa

  1. M

    ALAT: Kafulila awasisitiza Wakurugenzi, Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri kuelekeza S/Mitaa kuhudumia wananchi zaidi miradi ya kibiashara wapewe PPPs

    MWANZA. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bwana David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuimarisha ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPP), akieleza kuwa mfumo huo ni nyenzo muhimu katika kuijenga Tanzania yenye uchumi imara na kuongeza...
  2. M

    David Kafulila: Kupitia PPPs tunajenga nchi ambayo kijana wa kitanzania mwenye ufanisi wa 40% aweze kushindana kwenye soko na Mchina mwenye 70%

    Hatuwezi kumtaka kijana mwenye uwezo wa 40% ashindane na kijana mwenye uwezo wa 70% bila kwanza kuwekeza katika elimu, afya, ujuzi na miundombinu. Kupitia PPPs, tunajenga mazingira ya uzalishaji, ajira, teknolojia na ushindani wa kimataifa. Lengo si kuwapa wawekezaji nafasi pekee, bali kujenga...
  3. M

    David Kafulila: Watanzania wajipange kushika uchumi wao kupitia ubia na wawekezaji wa nje

    Hii maana yake nini? ina maana kwamba David Kafulila anaonekana kuwa na mtazamo wa kimkakati na mawazo ya maendeleo yanayoweza kusaidia Tanzania kujiandaa kiuchumi kwa miaka ijayo, hasa kuelekea mwaka 2050. Tuiangalie kwa mifano: 1\. Uchumi unaotegemea uzalishaji, si matumizi pekee Tanzania...
Back
Top Bottom