Recent content by Mwana Wa Maryam

  1. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Naona unachanganya madawa sasa. Katika posti yangu moja naomba u-scroll huko juu, nilisema kuna UJAMAA wa uzalishaji na kuna UJAMAA wa matumizi ya huduma muhimu ya umma. Na vile vile kuna UBEPARI wa uzalishaji na UBEPARI wa matumizi huduma muhimu za umma. Nchi kama Tanzania, Cuba, Korea...
  2. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Sitakata kukujibu swali na NASA kwa undani kwa sababu nitaoneka kama najimwagia UJIKO. Nilifanya kazi NASA katika center ya mambo ya sayansi ya hewa (Atmospheric Science). Kazi za NASA sio za faida na sio za uzalishaji. Wanachofanya ni researches ambazo zinahitaji fungu moja kwa moja kutoka...
  3. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Mwanakijiji: Suala la nchi zingine kufanya au kutofanya vizuri haliusiani kabisa na nafasi ya maendeleo ya Tanzania duniani. Tulikuwa na nafasi ya kutofuata Ujamaa na kuna watanzania kama Kambona ambao hawakukubaliana na hiyo siasa na hawakupewa muda na nafasi kuelezea mapingamizi yao. Ni...
  4. M

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Udikteta sio neno zito kabisa. Kinachotusumbua ni tafsiri ya udikteta. Kwetu dikteta ni kiongozi anayetumia mabavu, anayetumia madaraka kwa faida yake na ikiwezekana anakuna nyama za watu. Lakini kuna kundi la dikteta (Benevolent dictator), ambao wanatumia uongozi wa kimla kwa manufaa ya umma...
  5. M

    Bodi ya Wachumi Tanzania

    Kwa upande wangu naona mwanzilishi amekosea kidogo. Kuna taaluma ambazo zinahitaji kupata kibali cha kufanyia kazi baada ya kumaliza masomo. Miongoni mwa hizo taaluma ni sheria, udaktari nk. Hivyo kuwepo kwa bodi kuna umuhimu wake. Lakini kuna taaluma zinazoweza kuwepo bila bodi. Kwa mfano...
  6. M

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    Kama ulivyosema tohara ni sunna maana yake ni hiari ya mtu. Programu ili iwe na mafanikio ni lazima itoe elimu na sio kulazimisha watu kuacha utamaduni wao. Taarifa kuhusu wajaluo na maambukizi ya VVU inatoa picha nyingi. Mbili kati ya hizo ni kuwa waathirika wengi ni wavuvi wa kando ya ziwa...
  7. M

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    Vile vile naomba upitie link hiyo. http://www.ncbi.nlm.nih.gov/sites/entrez?cmd=Retrieve&db=pubmed&dopt=AbstractPlus&list_uids=17715517&tool=MedlinePlus
  8. M

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    Utafiti ulifanyika Kenya kwenye vijiji vya wajaluo wanaoishi kando ya ziwa. Na wakalinganisha na makabila mengine yanayoishi huko na imeonyesha wanaume wa kijaluo wameathirika sana. Kwa taarifa ni imani ya wajaluo kuwa kutahiri kunapunguza nguvu za kiume. Na kabla ya ugonjwa wa ukimwa...
  9. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Mwiba: Sasa inabidi tuulizane. Hivi shule ulikwenda wapi? Magazeti ya nchi zote yanaandikwa na waandishi na majina yao wawekwa kwenye wakala wa habari walizoandika. Mwandishi wa gazeti ametumia haki yake ya kiraia ya kuandika anachofikiri. Lakini maandishi yake yasitumike, kuwakilisha...
  10. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    StoneTown: Naomba uite ukwaju ukwaju na ubuyu ubuyu. CCM na muungano ni vitu viwili tofauti. CCM ni chama na Muungano ni nchi. Mimi mtanganyika CCM siipendi na kama kuna mvutano ndani ya CCM kuhusu nani awe rais wa Zanzibar hilo ni jukumu la wana-CCM wenyewe. Watanganyika wengi sio wanachama...
  11. M

    Vyombo vya habari Tanzania na hatma yetu

    Umenasa kwenye mtego. Sikuimalizia hiyo stori ili wenye fikra kama za waandishi wetu wa habari wanase. Mjomba umekurupuka. Kutahiri kunaongeza ugumu wa ngozi ya kichwa cha uume na kupunguza uambukiza wa magonjwa ya zinaa. Kwa mfano mtu alitahiriwa ataambukizwa kwa kupitia njia mkojo tu na...
  12. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Mwiba: Unadanganya sasa. Umezaliwa wakati muungano tayari na faida ya kuishi kama mtanganyika ukuiona wewe. Tanganyika ilikuwa nchi kwa kipindi cha miaka 44. Na katika kipindi hicho ni miaka 3 tu Tanganyika ilikuwa nchi ya huru. Na kipindi kilichobaki cha miaka 41, Tanganyika ilikuwa chini ya...
  13. M

    The Crisis In Congo..What Can Tanzania Do?

    Unajua kuna baadhi ya watusti wanasema kuwa wao ni moja ya makabila ya wana wa-Israeli yaliopotea na wanaamini kuwa wao ni superior kuliko wengine?
  14. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Hata hapa Marekani kuna watu wanataka Texas iwe nchi. Na wengine wanataka watu weusi wapewe sehemu yao na kuunda nchi. Ukienda UK, kuna watu wanaotaka Scotland iwe nchi kamili. Nyerere, akiwa kiongozi alizikubali zawadi mbili kwa heshima kubwa fimbo na kofia. Ni mtu aliyejua Public...
  15. M

    Donors syndrome

    Misaada mingi tunayopata ni kuendeleza mitindo ya maisha ambayo kabla ya uhuru ilikuwa haipo. Rais wa nchi hafanyi kazi mpaka awe na ndege maalumu. Viongozi wetu wanajua hilo na wakikataa misaada ni wao watakoathrika na sio sisi.
Back
Top Bottom