dah kama huyu jamaa atawasilishe hizo hati za bilion 55 inabidi ashtakiwe, anamshahara wakuweza kua na hizo mali au hela... kweli analipa kodi, inabid watu wa Tax wafatilie and takukuru pia iangalie hili, au wana JF mnasemaje?
jamani si mmeona wananchi wa bukoba wenyewe wanampongeza DC...
acheni kutetea tu hao walimu,
Date::2/16/2009 Bukoba: DC aungwa mkono kwa walimu kuchapwa viboko *Polisi wazima mpango wa waalim kuandamana kulaani adhabu hiyo
Na Lilian Lugakingira
WAKATI walimu wa mkoani Kagera wamenyimwa kibali...
mkuu mwanamalundi,
nimesoma ulichoandika lakini nimeona huna point,
kwani kazi ya mbunge ni nini?
me nakubaliana na bangusule, hizo ni kazi za wabunge,
mbunge ndio kiini cha maendeleo kwenye jimbo...
mbunge ni mwakilishi wa wananchi kwenye serikali, kwa ishu ya pesticides, mbunge...
mkuu mahesabu nakuunga mko no mia kwa mia...
me naona DC alikua right.. watanzania hatuendi bila bakora...
nimemshangaa sana kunamtu alicomment eti akisikia mtoto wake amechapwa na mwalimu atakula nae sahani moja... sidhani kama huyu mtu ni mzima,
kama umefatilia miaka yahivi karibuni tangu...
Waandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete amemvua madaraka na kumwachisha kazi rasmi kuanzia jana, mkuu wa wilaya ya Bukoba, Albert Mnali aliyeamuru polisi mmoja kuwachapa viboko walimu katika shule tatu za msingi zilizoko wilayani kwake kutokana na kushika mkia katika matokeo ya darasa la saba...
jamani hao wasomi mnaotaka warudi wapo? watanzania wengi wanaoenda nje kusoma huishia kurudia na kupata marks za chini sana, wapo wanaofanya fresh ila ukweli wengi hawafanyi vizuri, hio ndio sababu pia hawataki kurudi nyumbani, wengi wameishia kuacha shule...
swala hili la watanzania kutorudi...
jamani nina mapendekezo na pia nina maswali, nahisi kila mtu atakua anajiuliuza au alisha wahi kujiuliza pia... inawza kuwapia imeshaongelewa hapa...(JF) ....
swali langu ni kwamba , hivi kunasheria katika nchi yetu ama kipengele cha sheria ambacho kinaruhusu viongozi wa nchi ambao wamesha...
nimejaribu kutafuta hicho chuo cha india lakini sikipati(ambala university) , na hicho free states university nimepata university of free state sasa sina uhakika kama ndio hicho... kama kunamtu anaweza nipa link ya kupata data za anayejiita Dr. David mathayo kwenye hivyo vyuo naomba atupe....
me naona hapo swala la msingi na laku lichambua ni hivyo vyeti vya kugushi..... wenye data zaidi wazimwage..... kama kuna viongozi wengine wenye vyeti hewa pia watajwe taarifa zi mfikie kikwete... ajue kua tunajua ... kwahiyo afanyie kazi.... "nakandamiza kibara naomba utupe data zaidi za hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.