Recent content by Mwami Ntale

  1. M

    Ogopa vijana wenye Ford Ranger na Prado za Dar es Salaam!

    Natamani ile approach aliyotumia Jiwe ku deal na majambazi wanaotumia silaha itumike kuwafuta hawa washenzi .Ukikamatwa unakula risasi kimyakimya tu.Bila hivyo hawa jamaa hawataacha hiyo biashara.
  2. M

    DOKEZO Wanachama wa CWT-Butiama tuna changamoto dhidi ya viongozi wa chama kwa ngazi ya Wilaya

    Achana na CWT,hamia CHAKUHAWATA.CWT ni chama cha wapigaji hiyo inajulikana nchi nzima.Mfumo wa uendeshaji wa CWT hauna tofauti na CCM inavyoendeshwa,msitarajie uwajibikaji katika ngazi yoyote.
  3. M

    Kutoka kwa Aloyce Nyanda : Bunge siku hizi limekuwa kama lipo lakini kama halipo. Au ni mimi tu ninayeona hivyo?

    Paschal,usitafute huruma.Kupitia maandishi yako ulichangia kuwaaminisha watu kuwa ccm itatawala milele.Hata ungeandika makala ndefu namna gani msimamo wako huu tu unakusaliti
  4. M

    Mzee Mohamed Said aandike kitabu kuhusu kiongozi Muislamu aliyeua maelfu ya Watanzania akiwa madarakani

    Ponjoro umetoa hoja ya maana sana.Huyo mzee aje ajibu hoja yako .Aandike makala ndefu kama anavyofanya siku zote.
  5. M

    Jeshi la Polisi laongoza kwa kunyanyasa waandishi wa habari

    Hii nakataaa!Mnyanyasaji wa kwanza wa waandishi wa habari ni yule ambaye huwa anawapangia cha kuandika,hao polisi wanaonewa tu.
  6. M

    Msaada: Najitoaje katika kifungo cha hasira, vurugu, ukorofi?

    Pamoja na ushauri mzuri uliopata hapo juu,nakuongezea hili:Utaanza kuwa serious na matokeo ya tabia yako siku ukigombana na mwalimu au mwanafunzi pahali pa kazi.Hatua zitakazokupata ukiharibu kazini zitakukumbusha kuwa makini na tabia yako hii ta kukosa uvumilivu.Nimeshaona jamaa wengi tu...
  7. M

    PostGE2025 Tukiwa katikati ya kuwakumbuka mashujaa wa Oct 29,2025, Tukumbuke pia shujaa Magufuli alizaliwa siku kama leo

    Hivi magufuli alikuwa shujaa wa nini.Huwa sielewi kwakweli naomba kueleweshwa
  8. M

    Ni sahihi kulala na ex wako mara ya mwisho kabla ya kuolewa/kuoa?

    Kwa sababu atakuwa anafikiri amepata kitu cha maana kumbe hovyo tu.
  9. M

    Leo ni siku muhimu sana kwangu nimeamua kuacha maisha ya uzinzi na uasherati na kufungua ukurasa mpya

    Kwahiyo kipindi chote ulichokuwa unazini milango ya baraka ilifungwa kabisa kwako?Haukupata riziki?Uliwezaje kuhonga?
  10. M

    Sammy Awami aeleza sababu ICC kumpiku Lissu tuzo ya Umoja wa Ulaya

    Hao wafanyakazi walipata vitisho tu,mwenzao lissu alikula risasi za moto kadhaa,na sasa hatima yake haijui ama kunyongwa au kuachiliwa.Nadhani kuna kitu hakikwenda sawa kwenye kutathimini nani anastahili tuzo
  11. M

    Honeymooon iliyoishia kwenye msiba

    Kwamba habari hii imesambazwa na watu wa CHADEMA?Hiki ni kiwango cha chini cha kufikiria
  12. M

    Kiliba: Rais Samia alifiwa na Mume wake mpendwa lakini hakuna kiongozi wa Chadema hata mmoja aliyeenda msibani

    Kwani CHADEMA walipofiwa na watu wao muhimu kama Ally Kibao huyo samia alienda kuwafariji?.Au huyo kiliba alitoa hata pole kwa chadema?
Back
Top Bottom