Recent content by mwamgogwaferdinand

  1. mwamgogwaferdinand

    Meneja wa Tanesco kakosekana katika ziara ya rais Magufuli Songwe

    Sio lazima kila sehemu alipo mkuu nae awepo huko mbeya hakuna msaidizi wake
  2. mwamgogwaferdinand

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kikosi kilichopangwa jana kilichosha kabisa haiwezekan Alexanda anaanza nje Filimino nae njee Gomez alitakiwa aanze na badala ya matip Timu ingetulia na tusinge pigwa goli tatu
  3. mwamgogwaferdinand

    Faida za Nguruwe kwa masuala ya Tiba.

    Wazee wa Mnyazi mungu mmeiona hiyo
  4. mwamgogwaferdinand

    PICHA : Ulinzi wa Rais wetu uko imara

    Malinzi ni mungu tuu sio binadamu
  5. mwamgogwaferdinand

    Nilivyokutana na Diamond Tukuyu akiwa ziarani

    Safi sana maisha ni amani tuu inatosha
  6. mwamgogwaferdinand

    Tanesco wameshakata umeme

    Maji yamepungua mtera mkuu
Back
Top Bottom