Hapo naona Mjumbe umekiri kosa na umesgindwa jabisa kuupuuza ukweli wa CCM kupendwa ni sawa kama ndiyo Kionel Messi wa siasa za ugombozi. Swali ni je Nessi a atumoaje huo umaaroof. Rudia historia kuna vyama vingapi vilikuwa hadhi sawa a CCM lakini leo viko wapi anzia hata kwa jirani zetu Kinya...
Ona mabeberu wanavyo tuzeleu, angalia hivyo Vinji vidogovidogo: Tanzania is thevonly NATION in Black Africa, the rest are a motley collection of trobes. Kinachouma zaidi ni kuwa wenzetu CHADEMA wanaungana nao kutukandia bila aibu. Kwa nini na sisi tusiwakatalie kuongia KIA, waanzie Dar es Salam...
Jibu ni rahisi, Waislamu huita SUBIRAH. Tatizo lenu ni kudhani kuwa unaweza kuitoa CCM kama walivyotoa Apartheid, haiwezekani. CCM inatawala kwa ridhaa ya Wananchi. Njia pekee ni kutengeneza sera nzuri na kuxinadi kwa Wapigakura kupitia Ilani yenu. kila miaka 5. Mwaka 2030 mkubali kupata...
Wooooooote wanaogopa kasoro wewe. Wewe si hlicjaguliwa na ACT uwe mgombea? Ulikuwa na kura yangu na watu ksma mie alfu kwa maakafu, lakino dakika ya mwisho ukampisha Luhaga ukidhani ana kapu la kura za Wasukuma kumbe mnavunja katiba ya ACT. Ni mtu gani ulimwogopa hapo? You chickened out you...
UUUUUWIII! Chadema wanataka Rais wa Sudan aje kusimamiamaridhiano lakini kwa xa Mwenyekiti Lissu awe huru naasimamie matidhiano hayo kwa upande wa Tanzania
Naona huna clue hata kidogo kinachotokea. Kuna uchaguzi Kenya mwakani, hii ni vita ya Makabila imeana. Hii ni "High' Court ya Nairobi, ya kabila hilo. Muwindwa hapo ni IGP nadhani Mluhya niacyao kumtikisa tu. Ushaona wapi ukapeleka HABEAS CORPUS kwa mtu asiyemhua "maiti" wako. Kikawaida mtu...
Wote wanaogopa kasoro wewe, hata baada ya kukubaku kwa hiari yako mwenyewe kuachia ngazi ya Ugombea kwa Luhaga Mpina bila kushurutishwa na Serkali na CCM wala kupata kibali rasmi wala kuomba radhi kwa Watanzania wana ACT waliokuanini na kukupa heshima hiyo.
Mbona WEWE unaongea, nani kakuteka? Mbona wewe ULISHINDA kwa kura kuwa Mgombea, kwa nini ukampa nafasi hiyo LUHAGA? Are you saying CCM ilikuengua? Cowards!! Irritants!!! Spivs!!!
Kumpuguzia nadaraka Rais ni kuruhusu fujo na uhaini, hasa baada ya uamuzi wa uchochezi kulipiwa faini na Ford Foundation. Rais lazima awe na madaraka aliyonayo la sivyo kitanukishwa mno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.