Recent content by Mwamba wa Tanga

  1. M

    Kuna kikao cha siri cha wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama usiku huu

    Sasa mkuu kama tuko salama mbona watu wanatekwa na haohao wanasema hawajui
  2. M

    Jana nimeota nimekamatwa na Polisi

    Pole sana mzee wangu Japo nakupigia cm hupokei Lkn huo ni ujumbe wa kiroho dhidi ya maisha unayoishi.. Naomba kukuliza mzee wangu hivi Makongoro mnawasiliana? Naona Kuna Jambo halipo sawa
  3. M

    Frank Rugwana aomba mabadiliko ya katiba kumwezesha Rais Samia kugombea tena 2030

    Tanzania ikija mipango ya namna hio hua haifiki mbali Nakumbuka mbunge wa nkasi alisema bunge lijalo ntaleta hoja ya kumlazimisha Magufuli aongezewe muda . Lkn hata ubunge hakupata Ndugu yangu Juma Nkamia sijui nae aliishia wp na Ile hoja yake ya miaka 7 naona alizimwa ghafla
  4. M

    Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

    Pembezoni mwa mji Kuna machimbo ya dhahabu kwahio mji wa starehe ni maramba kwahio ikifika weekend au jioni mji unafurika watu
  5. M

    Rais Samia ni mbadhirifu.

    Ndiye yeye alinipa namba yake majina ndio hayo ya mzee wetu wa Taifa
  6. M

    Hivi Tanga kuna Ukimwi sana au niwe huru kula bila kinga?

    Sasahivi sio mchezo mji mtamu sana huu
  7. M

    Ni wakati sasa wa kuunda Serikali ya Umoja wa kitaifa

    Kwa andiko hili naamini yule mama hayupo
  8. M

    Jinsi nilivyotapeliwa drill machine

    Habari wakuu natumaini mko salama. Kisa hiki kilinitokea mwaka 2007 Pala Arusha njiro Nilikua nachukua ujuzi wa kuchomelea mageti na vitu vingine vya Jamii ya chuma . Nilikua mwaminifu sana na akili nyepesi ya kutambua haraka kazi Ofisi yetu ilikua nane nane njiro ofisi yetu ilitazamana na...
Back
Top Bottom