Recent content by mwalimu Jr.

  1. M

    Sababu za kuto chagua upinzani 2010

    Na mimi naomba mheshimiwa, kuongeza yafuatayo: 1. Kama Upinzani unavyokosa umoja nje ya serikali hivi sasa ukiingia serikalini utakuwa pia hauna umoja kama vile tunavyoona huko Kenya na Zimbabwe; 2. Hawa ni watu wenye njaa kali na hivyo tutegemee ufisadi mkubwa zaidi kuliko uliwahi kutokea...
  2. M

    Obama kuanza kuporomosha ndege na mabomu Afrika ?

    KWA mujiibu wa habari nilizozisikia hivi karibuni ni kuwa viongozi wa kijeshi wa Marekani wamesema tayari wameruhusiwa kutumia ndege zao za kijeshi ili kuihuisha serikali iliyopandikizwa huko Somalia huku ikijifiia yenyewe maana haina mizizi kabisa nchini humo. Kwa Afrika hili litakuwa kosa...
  3. M

    Kero za kuondoa ili CCM ishinde kiulani

    CHAMA CHA JIHADI? ETI ni kweli kwamba CCJ ni chama cha Jihadi na kwamba waathirika wengi wa mauaji Mwembechai na Zanzibar wamejiunga na chama hicho? Mambo ....ambayo CCM lazima ijirekebishe: 1. Kuiba fedha za umma kwa ujanja wa kuamuru idara/wizara kununua kitu fulani ili chama hicho...
  4. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    I found this article in: ' http://www.newsafrica.com/article65.html' .... Sammy Makila, editor of Majira, the Tanzania circulation leader, was arrested in 1995 for breaking the news of a $130 million radar deal between the Tanzanian government and Siemans 12 hours before the cabinet concluded...
  5. M

    Kingunge amechanganyikiwa?

    Tatizo la kufikiri kwa moyo badala ya akili ndilo linalowatatiza wengi 'wanaoharisha katika blogi na mitandao kama hii. Chukueni muda sio tu wa kujiona mna akili na mnaweza kusema lolote bali kubwa zaidi kulipima jambo kwa faida au hasara zake za leo na k esho- Mwalinu Jr. na ushauri wa Buuure!
  6. M

    Kingunge amechanganyikiwa?

    Repent Kingunge now tells Catholics UNLIKE the hypocrites and demagogues in CCM and the parliament I am for the first time, fully behind Mzee Kingunge and now more ever than before believe in his sound judgement and admirable foresight. Countrymen, let us pull back, and take a looong look...
  7. M

    Anzisheni SACCOS za Kilimo kwa kila Jimbo

    HISIA za wananchi wengi ni kwamba 'wabunge' wanataka mfuko wa majimbo ili kulinda nafasi zao na wala sio kwa manufaa ya mkulima. Mimi ninaishauri serikali kufikiria uwezekano wa kuanzisha SACCOS za kilimo za jimbo zitakazoendeshwa kwa kanuni maridhawa na safi za menejimenti na utawala chini...
  8. M

    Kuna 'teja' kwa kila familia Zanzibar-BBC utafiti.

    KWA MUJIBU wa Idhaa ya Kiingereza ya BBC kuna mbwia unga mmoja karibu kwa kila familia kisiwani Zanzibar. Mara tu siasa ya Ujamaa ilipokufa na Tanzania kufungua milango yake wazi kwa kila aina ya biashara-haramu na halali kuingia nchini-utu, adabu, uungwana na maadili yote kwa ujumla...
  9. M

    Zitto: "Majibu ya Sumari ni 'ovyo ovyo'"; atakiwa kufuta kauli!

    Wengi wataitwa majina ya ajabu kama tusipobadilika: Wa kuogopa sio rais bali wananchi eti !!!! Wakubwa wetu kuitwa jina la jamaa yule anayebweka hivi ni ajali au ndio majaliwa na hatima ya uongozi wa nchi ulioshindwa kuwaridhisha wananchi. Hivi bado tunafunga macho katika dunia ya...
  10. M

    Wanasiasa wana complicate issues?

    NINI hasa Watanzania jamani wanachokitaka na kukihitaji ili waendelee ? Sio vitu vigumu kiasi hicho. Hebu tazama mlolongo hapa chini ni vitu simpo tu lakini sisi viongozi hatufanyi kazi maana ni longalonga na wababaishaji na watoaji ahadi wakubwa bila kuzitekeleza. Na bajeti ikipangwa kuwa...
  11. M

    Walimu waliotandikwa bakora wadai bil.3! weee

    "Aidha, Serikali inaandaa mradi mkubwa wa kujenga nyumba za walimu nchi nzima kwa kuanzia na maeneo ya pembezoni yenye mazingira magumu ili kuondoa kero za makazi ya walimu." Kuna uhusiano wa moja kwa moja na wale walimu wa Katerero kuchapwa viboko na DC baada ya kuchelewa kuripoti kazini...
  12. M

    Dowans: Another Richmond in making?

    Tunamuona Mugabe chizi lakini viongozi ndio chizi zaidi. Hivi una habari kwamba jamaa huyu baada ya kuona kawaibia Wazim. mpaka kawamaliza akafanza geresha toto. Ipi? Eti kuisaidia Congo Kinshasa kuweka amani kusini kwenye madini kibao. Hivi juzi mke wa swahiba wake mkubwa Mugabe mama Mujuru...
  13. M

    Vituo vya mafuta Dar vyagoma!

    HAWA jamaa wanataka kutupeleka kwenye hali iliyoko katika nchi kama Nigeria. Yaani, wanataka kuanza KUUZA PETEROLI KWA MACHINGA halafu machinga ndio wawe wanawauzia wenye magari. WAMECHEMSHA. Janja ya nyani kushaonekana bana!!! Ninaunga mkono hoja RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE TAIFISHA...
  14. M

    Serikali yamwaga mashangingi: Hatujifunzi tu kutoka Rwanda jinsi Kagame anavyotawala?

    TATIZO: SIASA ZA KURIDHIKA NA KURIDHISHANA Ninaamini kwamba tatizo hapa ni siasa hizi za KURIDHIKA na kujaribu kudhirishana hata kwa yale yasiyostahili na yanayochangia watu wasiridhike katika mikoa mbalimbali nchini. WATANZANIA vipofu na viziwi masikini wanakubali kuibiwa fedha zao...
  15. M

    Mu-Iraqi Amrushia Bush Viatu Hadharani!!!!

    HABARI za kuaminika ni kwamba viatu alivyotupiwa Bw. George Bush kama kwa\heri ya mwaka kama sio ya muongo au karne sasa vinanadiwa kwa zaidi ya shilingi bilioni 10 za Kitanzania. Ulaji mtupu! Inavyoelekea ni kuwa mwandishi wa habari aliyefanya kazi ya kumtupia viatu hivyo Bw. Kichaka...
Back
Top Bottom