Recent content by mwaibile

  1. mwaibile

    Ukiwa na shida demu wako anaweza kukutumia laki 2 chap? Au yeye ana utelezi tu?

    Unafikili mademu hawa walivyojaa mikopo labda akope kausha damu uwe unapeleka marejesho hapo sawa
  2. mwaibile

    Kwenye maisha, ni kitu gani umejifunza kuhusu ……

    Namba tano ni ukweli uliowazi
  3. mwaibile

    Kwenye maisha, ni kitu gani umejifunza kuhusu ……

    Chakujifunza maisha yanaitaji usiwe na pupa pale unapokutwa na changamoto iwe mbaya hama nzuri chakwanza relax,tuliza wenge kusha sasa fanya maamuzi yaliyo sahihi
  4. mwaibile

    Trump kukutana na Xi Jinping na Vladimir Putin katika mkutano wa kihistoria

    Ngoja tuone maongezi yanaweza saidia vita ikaisha
  5. mwaibile

    Sudan Kusini yahairisha tena uchaguzi hadi Februari 2027

    Sudan kusini ndo ipo na mavita na haa uchumi wao uko chini sana,wenzao sudan kasazini wapo juu sana kiuchumi
  6. mwaibile

    Kiwanda cha Filamu bado kinamuhitaji Mzee Magari kwa asilimia ngapi?

    Yaa aje achukue mikoba ya kanumba
  7. mwaibile

    Vitu ambavyo siwezi kutoa pesa yangu kununua, hata mia moja siwezi kutoa

    Kwaiyo tunaongea na mlokole
  8. mwaibile

    Kuna jirani yangu saivi saa 7 na dakika 49 usiku namsikia anasonga ugali

    Ww ndo utakuwa msukule wenyewe unashindwa kulala unafatilia maisha ya watu
Back
Top Bottom