Recent content by Mwafrikamtanzania

  1. Mwafrikamtanzania

    TANZIA Dkt. Isaac Ndodi afariki dunia

    Nilidhani Kigwangala ali-deal na Dr. J.J Mwaka pekee! Hadi sasa imebidi aitwe J.J Mwaka ktk kazi zake
  2. Mwafrikamtanzania

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    Asante kwa supportive evidence ya namna hii.
  3. Mwafrikamtanzania

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    Daah? Kumbe hivi vyama vya ushirika vilikuwa na pesa hatari!
  4. Mwafrikamtanzania

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    Nimeona juzi ktk media kuwa MoCU (zamani MUCCoBS) wamefungua tawi hapo Shinyanga.
  5. Mwafrikamtanzania

    Hodophiles Thread | Mji wa Shinyanga nilivyouona

    Msalala na Ushetu bado ni halmashauri za Wilaya ndani ya Wilaya ya Kahama. Plus Kahama Manispaa, jumla zitakuwa Halmashauri 3 ndani ya Wilaya ya Kahama.
  6. Mwafrikamtanzania

    Zamani Wajaluo walikuwa waking'olewa meno sita ya mbele, unaijua sababu?

    Zamani kdg ukifanya hivi unachezea kelbu Moja ya nguvu...kwamba ni matusi
  7. Mwafrikamtanzania

    Mtaje mchezaji ambaye hujawahi kumuona akicheza ili wakongwe wakuchambulie sifa zake

    Huyu alikuwa winga wa upande wa kulia (namba 7). Sifa yake kubwa ni stamina, alikuwa na nguvu sana miguuni. Alikuwa hapokonyeki mpira wala kuanguka.
  8. Mwafrikamtanzania

    "Ukitaka Security ya kazi, nenda serikalini. Ukitaka kujenga professionalism & integrity, nenda private sector" Statement hii ina ukweli/uongo mwingi?

    Mteja una pesa ya kulipia huduma, umetimiza vigezo vyote lkn huduma hupatiwi Kwa wakati au usipatiwe kabisa. Ni maajabu ya sekta za govt
  9. Mwafrikamtanzania

    HOJA Serikali imegharamika sana kujenga madaraja ya Watembea kwa Miguu Kimara, Buguruni na Manzese, ila watu Bado wanakatisha barabarani!

    Maendeleo huja na maumivu. Kuwekwa Kwa madaraka kuepusha ajali ni jambo zuri. Changamoto ni akili zetu watembea Kwa miguu
Back
Top Bottom