Recent content by Mwafrikaazania

  1. M

    Infantino Kwenye Hatarini! UEFA Yamtangaza Mpinzani Wake Mpya Kugombea Urais wa FIFA

    Il Blatter alikuwa kiboko, ulikuwa ukitaja FIFA ni kama unamuona yeye. Naye alikuwa akicheza na Afrika na Asia. Na inasemekana mkono wake ulikuwa na m'mafuta'. Wazungu wakamchoka wakamtafutia zengewe linaloendana na udhaifu wake.
  2. M

    Zipi sababu zinazozuia gari za Masoud Kipanya kuanza kutumika

    Sura nzuri gari ya Mizigo? Scania na Volvo wana gari zina sura nzuri lakini kuna Mchina anaitwa Howo na Sinotrak anamkimbiza sasa hivi, si Bongo tu mpaka Ulaya!!
  3. M

    Zipi sababu zinazozuia gari za Masoud Kipanya kuanza kutumika

    Huyo alizungumza kwenye kikao cha ndani Watu wakavujisha clip. Wakati huo gari la masoud sidhani hata lilikuwa linaweza kutembea zaidi ya mita mia. Nimeona Mwezi August linatembea barabarani vizuri tu. Huyo mtaalam ni mwakilishi wetu wabongo. Ingekuwa Mchina ungesikia 'Halafu Mchina hana...
  4. M

    Zipi sababu zinazozuia gari za Masoud Kipanya kuanza kutumika

    Na ndiyo maana yake, unaanza ubunifu halafu wazo lako unapeleka kwa Mchina au yeyote yule atengeneze kwa kadri ya hitaji lako. Ni Dunia ya innovation. Bado narudia ni ujinga tu wa Kibongo, ila ubunifu wowote unaanzia kichwani, na Masoud kaweza hilo. Hata Toyota toka walivyoanza na mpaka sasa...
  5. M

    Zipi sababu zinazozuia gari za Masoud Kipanya kuanza kutumika

    Ulishawahi kuona akiielezea gari yake? Kama hujaona authority ya kusema hakuna ubunifu wowote umetoa wapi, au hitimisho lako ni picha tu!!
  6. M

    Zipi sababu zinazozuia gari za Masoud Kipanya kuanza kutumika

    Hao tayari wameshamuona Mbongo mwenzao na wameshajenga fikra kwamba hawezi. Hii ya kusema hakuna anayesema 'tunathamini' au hakuna 'anayempinga' ujue ni mentality tu za ujinga wa Kibongo. Ogopa sana Mtu anayekupinga na kwenye majibu yake anahusisha na wengine! Yaani Mtu kaona picha ya gari...
  7. M

    HOJA Ajira mpya Serikalini tunapiga tu story ofisini, hakuna kazi za kufanya

    Hivi kwa mfano Halmashauri ya Wiaya x yupo kitengo cha Kilimo au Mifugo, kwa maajabu gani hapo ya kujifunza kwa miezi 12!! Sisi ambao tumefanya kazi na idara za Serikali hasa ngazi ya halmashauri tunajua aina ya utendaji wao. Kuna uzembe, urasimu nk. Labda kama asubiri kujifunza hizo 'culture'
  8. M

    Bima ya afya iliyo nzuri!

    Bima gani hatoi paracetamol au fragily!! Hapo utakuwa hospitali hovyo. Kama mpunga unaruhusu, nenda Strategis, ila ndiyo hivyo zinatolewa kwa hospitali kuanzia ngazi ya Polyclinic kwenda juu na nyingi zipo maeneo ya miji mikubwa. Package zao zina-cover huduma nyingi sana ila vifurushi vyake ni...
  9. M

    Bima ya afya iliyo nzuri!

    Strategis, Jubilee, Assemble. Lakini uzuri wa bima unaupimaje? Kwa sababu uzuri unaathiri pia aina ya bima utakayohitaji
  10. M

    Haki sio kushinda, Hata kushindwa ni haki pia

    Ndiyo maana nikakwambia huna consistence kwenye hoja. Angalia hata makosa madogo kama 'mauaji ya Nov 29 mara 21. Hii ni mbinu ya kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kwenda kwenye hisia na nia za unaojadiliana nao. Inaonyesha tayari unachuki flani na unajaribu kuonyesha au kuwa na hisia kwamba...
  11. M

    Haki sio kushinda, Hata kushindwa ni haki pia

    Mkandara hivi unasoma ulichoandika? Ni kama unaelezea habari za ufugaji wa kuku halafu katikati ya mazungumzo unaelezea bamia zinazoliwa na wadudu, ghafla unamalizia (?) na bei ndogo ya kilo moja ya korosho!! Huna consistence kwenye 'hoja' zako, inakuwa ngumu kufanya mjadala na wewe. Unajua...
  12. M

    Watanzania 2, Mganda 1 wakamatwa na shehena ya dawa za kulevya za mabilioni katika operesheni Kenya

    Hivi Shkuba bado yupo jela? Nakumbuka picha yake akiwa kwenye defender anacheka. Nikasema ningekuwa mimi askari hiyo ni dharau kubwa sana
  13. M

    Niulize kuhusu ugonjwa sugu wa Figo(CKD) na dialysis

    Hamkutupa pesa. Mlitumia pesa kwa ajili ya kuokoa uhai, na hayo ni matumizi halali kabisa ya fedha
  14. M

    Hii kazi ya Customer Care inabidi uwe na Uvumilivu wa hali ya juu

    Hakuna kazi rahisi. Ni kila kazi ina changamoto yake. Bottom line, una skills za hiyo kazi? Umekuwa trained, unajua kuwa kazi yeyote inayohusisha kuoanana au ku-deal na mteja moja kwa moja inahitaji maarifa? Unajua kuna kampuni zimeajiri kabisa Mtu mwenye cheo cha customer experience Manager...
  15. M

    Hii kazi ya Customer Care inabidi uwe na Uvumilivu wa hali ya juu

    Ni kama useme kucheza mpira ni kazi ngumu kuliko zote kwa sababu muda wote unakimbia Uwanjani. Hapana, kila kazi kama ni professional nina imani umeshakuwa trained kwa changamoto tarajiwa. Wakati wewe unamuonea huruma mchezaji, yeye hilo si tatizo kwake, pengine anawaza kwa nini hawanipi pasi...
Back
Top Bottom