,,Hahaa ni kweli kabisa bwashee, kupata connection yenyewe mtaani kwa sasa ni mchakamchakaa mwingine!
Ndio maana inabidi vijana tuache usiri na aibu mtu haun kazi unakaaa tu . Kulalamika chumbani hakusaidii; inabidi ujilipue, utoke mtaani, udandie semina, na ujichanganye na watu maofisini hata...
Mkuu, tukizungumzia Skills, tunamaanisha uwezo wa kuleta matokeo (results) na kutatua changamoto za mwajiri. Makampuni binafsi hayana bajeti ya kuanz kuelekez watu tena, yanataka watu wenye ujuzi wa kuanza kazi mara moja.
Hapa Tanzania, mifano ya taasisi binafsi zinazoweka msisitizo mkubwa...
Mkuu, nenda makampuni ya Mawasiliano (Vodacom/Airtel/Tigo), Mabenki makubwa (CRDB/NMB), au Makampuni ya Ukaguzi (PwC/EY) uone kama utaingia bila connection.
Hata uwe na gpa ya ngap mfano kwenye benki: nafasi ikitoka, HR anaangalia kwanza CV zilizopenyezwa na wakurugenzi au mameneja wa ndani...
Upo sahihi mkuu, ukienda private kichwa kikiwa cheupe hutoboi hata sekunde, "natural selection" itakurudisha mtaani.
Ila ukweli unabaki palepale: Mtaani kuna watu wana vichwa vizuri sana na uwezo mkubwa kwenye kozi zao, lakini hawapati hata nafasi ya kufanya hiyo interview kwa sababu CV zao...
Mkuu upo sahihi sana kwenye suala la skills (ujuzi wa kazi), nakubaliana nawe 100%.
Ila ukweli ni kwamba mtaani kwetu sasa hivi, hata uwe na hizo "skills" za kiwango cha juu namna gani, kama huna connection ya kukuingiza ndani ili uonyeshe uwezo wako, unabaki nazo chumbani kwako.
Kwenye taasisi...
Wakuu, habari za wakati huu.
Leo nataka niwaambie ukweli mchungu ambao vijana wengi wanaomaliza vyuo hawataki kuusikia, lakini ndio uhalisia wa soko la ajira kwa sasa.
Siku hizi mambo yamebadilika sana. Kelele za "Nasoma UDSM chuo bora Afrika Mashariki" au "Nimepata First Class au Upper Second"...
Wakuu salama,
Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
Wakuu salama,
Natumai mko wote heri. Nina ndugu yangu wa karibu amefanya maombi ya chuo mwaka huu na katika matokeo ya kwanza (Batch One) amefanikiwa kuchaguliwa kujiunga na Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT) kusomea kozi ya Stashahada ya Uhandisi wa Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil...
Habari za muda huu wanajf ,
Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja taarifa hizo na kuzibadilisha kuwa maarifa (knowledge) ndiyo unaotofautisha kati ya mtu anayepiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.