Kilio changu bado kipo pale pale wadau, sijapata suluhisho hadi leo! hivi wenye daladala zenu kwanini msilete huku mkapata hela zenu za maana kuliko hawa wapemba mdebwedo wanaturingia mbaya! yaani utadhani tunaomba msaada kumbe tunalipia nauli. Wanaume mnaojua kazi leteni magari huku, wenzenu...
Pretty Huge Dude! Kumbe lisemwalo lipo. Naomba nisipate BAN kwa kufukunyua hii thread ilipofichwa! Wenzangu pia epukeni maneno makali kabla jeiefu haijatoweka hewani tena.
Kabla hujachangia uwe unaelewa topic kwanza, mi sijazungumzia kivuko bali daladala. Kwenye issue siriaz wengine mnaleta utani, mara hamia kwingine siwezi hama ndio nna kamjengo kangu huko nshakamalizia, aliyesema kukopa au kununua gari ni sawa lakini kwa njia moja au nyingine nawakilisha kilio...
Jamani usafiri wa daladala za kigamboni hasa za kutoka feri kwenda kibada na kongowe una kero vibaya mno, asubuhi daladala zinakatisha route toka Kongowe zinaishia Toangoma na Mikwambe CCM, tuendao feri tunabaki kubahatisha chache sana zikiwa zimejaa! Imagine asubuhi umedamka uwahi job unakaa...
wanaboa hao! kuna wale pia wanaopigia mswaki nje na kutembea hadi dukani huku anaendelea kupiga mswaki, imagine anaongea ongea na watu njiani na kutematema mate hovyo! hadi akarudi nyumbani ameshautafuna mswaki wote! aaarghh
Nape, kwa kweli nasikitika sana kwa jinsi ulivyokurupuka na kuanza kuponda bajeti iliyotolewa na chadema kwamba inadhihirisha uongo wao, ni vyema kabla hujafanya kitu ukajaribu ku-compare na ile bajeti ambayo ccm imeleta bungeni na ahadi zenu mia moja. Ukiona kwamba imetimiza ahadi zote karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.