Recent content by Mutuzu-Muhunda

  1. M

    Nishaurini kuhusu mpenzi wangu, ana tatizo la kuwa na maji mengi ukeni

    Kila kukicha yanaongezeka??Au wew ndo punyeto imekuathiri??kitu kinasinyaa kila siku ziendepo??Punguza hiyo kitu
  2. M

    Anataka nimuoe ilihali sina kazi

    Nipe namba yake,mimi nina kazi ila sijapata wa kuoa!!
  3. M

    ITV:MICHEZO

    Duh naangalia ITV habari za michezo,kumbe huu mchezo wa kucheza na ng'ombe hata TZ upo!!!ukiendelezwa vizuri utakuwa chanzo cha mapato na Utalii
  4. M

    Rais Magufuli, sasa serikali ihamie Dodoma

    Mzigo mzito mpe mnyamwezi
  5. M

    Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

    Kwani chenyewe kimeletwa karne ya ngapi??
  6. M

    Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

    Star times hawaonyeshi hii game??
  7. M

    Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi asimamishwa kazi kwa kutoa malipo hewa

    Wamemuonea tu,haiwezekani watumishi raia wasipewe posho wakati wenzao Police wanapewa,na zinaandaliwa na haohao watumishi raia akiwemo mhasibu mkuu mwenyewe.Msaki
  8. M

    Nauza kiwanja

    Kibaha!?kiwanja au shamba?
  9. M

    Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Mzee wa upako na ule wimbo wake wa Sayuni sayuni.....katika ubora wake,kesho jumatatu usiku channel 10 lazima kitakuwa marudio ya kipindi cha leo
  10. M

    Rais Magufuli ashiriki ibada katika kanisa la Antoni Lusekelo, atoa ahadi ya barabara

    Raisi wa JMT Mh.JPM amemtembelea Muhubiri Mzee wa Upako au "Transformer" kamwambia anaguswa na uhubiri wake,ahaidi kumjengea barabara ili waumini na wananchi wa Maeneo hayo wasipate usumbufu. Source.Kurugenzi Ikulu
  11. M

    Bodi ya mikopo na wadau sikilizeni kilio changu naangamia.

    Tatizo lako haukuendelea kujaza hizo form zao kwa wakati baada ya kupata mkopo,haki ni lazima iendane na wajibu,ni tabia ya vijana wengi kutoendelea na kujaza hizo form,mkikosa ndo mnaanza kuhangaika kujaza,na inakuwa too late.
  12. M

    Mfuko wa LAPF hauna usumbufu kabisa

    Bila kupata usumbufu ungewajuaje hao maafisa wote uliowataja hapo juu??
Back
Top Bottom