Jamani hawa airtel ni wezi wane amua
Kutuibia kwa ujanja yani nimeweka bandle ya MB 400 nime download nyimbo mbili zenye mb 7 Kila moja nangalia salio zimebaki MB 80 kwakweli hawatutendei haki.
hivi nyinyi madaktari waki umwa familia zenu mtaendelea kugoma au mnatufanyia sisi tu angalieni kwa makini kwanini mtutese wananchi tusio na hatia kumbukeni sekali hizihizi ndio zilizo kusomesheni unazibeza sio haki hata kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.