Recent content by munui

  1. M

    Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

    Nikijisikia tu namwambia mama Shija hebu njoo kuna hela yangu ilidondoka nitafutie huku chumbani . Akija tuu ngwala!
  2. M

    Hivi ni kweli katiba inahitajika muda huu

    Ukizingatia iliyopo hatujaweza kuitii ipasavyo?
  3. M

    Hivi hizi mvua tunazitumiaje pamoja ya Kuwa zinaleta madhara?

    Lakini tunautayari wowote kama nchi kuzitumia ! Nadhani kuna haja ya kulifanyia kazi
  4. M

    Hivi hizi mvua tunazitumiaje pamoja ya Kuwa zinaleta madhara?

    Maana kuna wengine wanazitumia kujipatia maendeleo
  5. M

    Ukimstahi Mke huzai naye.....

    Eti tema mate!!! Umeniongezea siku !!!
  6. M

    Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

    Hakika kila jambo linahitaji Kuwa na maono na mikakati ila yote katika yote vyote ni vyombo vya usafiri
  7. M

    Kwanini wasukuma wanapenda mabinti weupe?

    Wala si washamba na si limbukeni. Kwani Mimi naishi na hawa jamaa ila wanapenda vinavyopendwa!
  8. M

    Uhuru wa kuabudu nao umeanza kuondoka...(?)

    Kuna watu wanakamatwa hadi Ibadan? Au akitoka
Back
Top Bottom