Recent content by Multi-skilled

  1. Multi-skilled

    Mchungaji Kanisa la KKKT amwaga pombe kwenye sherehe ya Kipaimara ya mtoto wa muumini wake huko Njombe

    Jesus turned water into wine at a wedding in Cana (John 2:1-11), supplying actual fermented wine rather than unfermented grape juice. Psalm 104:15 describes wine as a gift from God that "gladdens human hearts"
  2. Multi-skilled

    HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kwa sasa ngamia anaweza kupenya kwenye tundu la sindano kabla ya wewe kuhama Taasisi.
  3. Multi-skilled

    Mvua ya dakika 10 yasababisha maafa, yasomba bidhaa na kuku Nzovwe, Mbeya

    Mbeya my hometown inahitaji Redesign plan, Urban renewal and zoning kwa gharama zozote iwe ni kwa city development funds kushirikiana na PPP au tuleteeni hao DP world Mbeya wajenge majengo ya biashara mji kujaa bajaji kama sisimizi tena kati kati ya jiji ni kujichelewesha wenyewe wakukaja
  4. Multi-skilled

    Boda boda kila siku watu wanapata ajali Dar

    BODA BODA ni zaidi ya UKIMWI zinaua balaa
  5. Multi-skilled

    Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

    Mbona Upo concerned sana na Idadi mkuu
  6. Multi-skilled

    Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

    Ni muda wa kununua gari la umeme hawa wajinga watafanya tununue mafuta 10,000 kwa lita
  7. Multi-skilled

    Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

    Maisha ni mahesabu tu watumishi wengi wanapokea kati ya 350k na 500k baada ya makato ila wanasomesha watoto shule ghali na kuendesha harrier tako la nyani kila siku nimesahau na kodi ya nyumba 500k wanalipa monthly😀z
  8. Multi-skilled

    China kuanzisha sheria mpya ya taraka

    Umeeleweka mkuu ila ni talaka sio taraka
  9. Multi-skilled

    Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

    Andaa pochi siku hizi mkwanja Speaks louder ma Handsome soko lao liliisha kitambo six pack wamegeuka bodyguard wananyanganya viwanja na nyumba
  10. Multi-skilled

    Chukua Tahadhari, Dodoma Kodi Za Fremu Ni Kubwa Mno

    Real estate bongo ni kama sekta isiyo RASMI maana kila mtu anaamua anavyotaka Landlord wangu anapandisha kodi yearly ukiuliza vigezo hana anakwambia mji unakua😀
  11. Multi-skilled

    Ukitazama hii video utasikia hawa mabinti wadogo wanasema "ficha bwana ako ndani, ndio tushavamia hivyo"

    Huwezi kukuta watoto wa ST FRANCIS au FEZA wana thinking ya chini kama hawa wazazi tutafute hela kwa nguvu
  12. Multi-skilled

    Nimenunua gari nataka kuikodisha kwa ajili ya bolt. Nianzie wapi?

    Fanya research mkuu usije kurudi na matusi huku baada ya miezi kadhaa Water pump IST 40,000 Subaru 120,000 oil IST 85,0000 Subaru 160,000 Mafuta IST LITRE 1 14 km Subaru 10 km
  13. Multi-skilled

    Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Naomba ndizi za kuiva ziwe nyekundu kama njano usilete mimi shabiki wa Simba.
Back
Top Bottom