Recent content by mulambakao

  1. mulambakao

    Ni sahihi kubana matumizi?

    Very right! Tambua uwepo wa CAG mthibiti mkuu na mkaguzi mkuu wa serikali kwanza, heshimu repoti zake kwa kuzifanyia kazi, hilo hata yeye mwenyewe ameshindwa sasa anawajibika kwa magamba badala wananchi! kisha tutambue mapato yetu kwa uwazi (siyo misaada) milingano ikieleweka tutabana matumizi...
  2. mulambakao

    Nchi ya Vikosi kazi na tume

    Kama vile hatuufahamu ukweli! Kuanzia kwenye maswala ya kijamii, siasa, michezo, taaluma n.k, mambo yako wazi kabisa mfanao, umeme kuzimika Taifa mwishoni mwa mashindano ya Kagame-unda tume, katibu mkuu wa wizara fulani kafanya madudu fulani-unda tume, madaktari wamefanya nini na nini-Temeke...
  3. mulambakao

    Bunge limetukanwa - Hakuna anayepiga kelele?!

    Duh, kweli siku moja nchi itawaka moto na hakuna kwa kukimbilia, bado TTCL vs Airtel pia serikali inasemaje kuhusu share zake? Zipo kweli? Any results from Due Dilligence reviews? ni sawasawa na mtu aliyemwagiwa upupu, anajikuna mwili mzima; ndo TZ ilivyo kila ugusapo ni Ufisadi tu!
  4. mulambakao

    Rostam! - Tafadhali Bwana

    Huyu muungwana sijui anasoma habari ipi? kama huna cha kuongea ni bora usiingie kabisa JF, vinginevyo unajidhalilisha mno, 'Independently look at the story" kisha kama unaweza changia, usipende kujidhalilisha, ingawa umeficha description yako bado unajitia aibu kukosa hoja!
  5. mulambakao

    Rostam! - Tafadhali Bwana

    Kwa ushauri tu wale ambao wanampongeza walau wangeeleza kwa undani hayo maslahi ya taifa aliyo yatetea? Kwa uwazi kabisa azungumze sababu za kujiuzulu baada ya vitisho vya katibu mkuu mpya wa CCM! Kuendelea ni kujitolea jamani waTanganyika mnakuwa waoga sana kujitoa, kazi iliyobaki ni kusifia...
  6. mulambakao

    "Madawa" ya Kulevya Yahalalishwe?

    Mkuu if you can't fight them tell me why not join them!
  7. mulambakao

    Utetezi wangu wa wazi wa William Ngeleja - The use of Emergency Powers Act 1986

    Mkuu pamoja na utetezi huo makini bado kuna jambo linasahaulika! Uwajibikaji! Wakati wa uchaguzi serikali iliyo madarakani ilitoa ahadi ya 'kulifanya tatizo la umeme kuwa historia' the exact wording quoted, sera zilizoenda shule zilimwagwa, haswa kule kwa jamaa zetu Kigoma ambako umeme ni lulu...
  8. mulambakao

    "Madawa" ya Kulevya Yahalalishwe?

    Ni dhahiri kwamba hii habari inaendelea kuishi na in umri mkubwa tu na watu wengi wamefaidika sana wanaendesha maisha yao ya kila siku na kuiendeleza jamii yao kwa kiwango cha pekee, mifano ya mafanikio ya huu mradi (madawa ya kulevya) yanaonekana wazi kabisa all around the world na hakuna...
  9. mulambakao

    Dawa za kulevya: Viongozi wa dini sasa wajisalimisha; Wakiri kufanya biashara hiyo muda mrefu

    Teh teh teh, damn i like your quote, so it is obvious, the question here is, serikali inahusika kwa kiasi gani kwa sasa kwenye hiyo global business? Siyo jipya hilo hata serikali za nchi kubwa zinahusika sana na hii business. Sasa what is fight against drug kwa bongo? ni uzushi tu! cabinet...
  10. mulambakao

    Nape waombe radhi serikali ya mapinduzi Zanzibar, adai Seif alikubali muafaka sababu ya njaa zake!

    "No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people." Julius Kambarage Nyerere, still Zanzibar is a 'Nation'! their eyes wide shut! Siyo mdebwedo huyo tu, wengine wanaojidunga na whisky ni Nahodha, Dr Bilal and the list goes on, jamaa hawaoni, wote ni njaa...
  11. mulambakao

    Nape waombe radhi serikali ya mapinduzi Zanzibar, adai Seif alikubali muafaka sababu ya njaa zake!

    Takbir kitu gani ninyi? kwanza siyo WHISKY tu, hata kiti moto anagonga, nyie mnaofikiria CUF ni chama cha upinzani mmeliwa hameni, mmeolewa katika hiyo ndoa iitwayo muafaka, ati aliyeshinda urais ni Sharrif, sasa imekuwaje, kama hajawasaliti kafanya nini, mnaendelea kunoa meno kwa chuma tu, you...
  12. mulambakao

    Efraim Kibonde amsafisha Rostam

    Gamba linambana na yeye, anatakiwa kulibanduwa, i don't see a point he's making, kapoteza wasikilizaji wengi w hiyo redio kwa bias-ness, kama hiyo radio inataka kuendeshwa kwa faida bora wamtoe au they should forget about doughs, wamepoteza mwelekeo!
  13. mulambakao

    Long life Zanzibar,Tanganyika nimekosa nini hata ikawa sipendwi wala sitajwi na watu wangu?

    1. Tunawatala ninyi, Raisi ati wenu anatumwa na sisi! na mambo yenu tunayapanaga sisi!, Sasa kama hakuna Mzanzibar anayependa muungano, na wewe unayeandika upo huku Tanganyika, huoni aibu nenda kwenu wavivu nyiye, mbona mnakubali kubali tu kukaa huku ati nmnapewa vyeo makamu wa rais, waziri wa...
  14. mulambakao

    Wanaotaka Muungano Uvunjike watoke kwanza Bungeni na BLW

    Salaam MKJJ, Ni dhahiri kwamba wewe binafsi ni mtu mwenye 'Ethics' makini na unaamini katika hizo hupendi kuyumbishwa, Ni kweli hayo yote uliyoyasema yanatakiwa kuwa applicable, lakini, kama kiongozi anaweza kupinga ukweli ndani ya bunge 'mfano; Taarifa za ufisadi mfano wa rada ambazo...
  15. mulambakao

    Mwigulu Mnchemba leo tu kanifurahisha bungeni

    Yeah yeah, look at this, kama tukitunga katiba,sheria zikawa zinaeleweka kiuchumi na kila kitu hatutakuwa na haja ya kuvunja kanuni very soon, hili swala la kanuni za manunuzi siyo la miaka ya tisini wala nyuma, only a couple of years, watu ni haohao they acted upon vehemently, sasa kubadilisha...
Back
Top Bottom