Ndugu wana JF, tumeshuhudia Chadema wakitoa kauli kali na ngumu kuwa CCM imeamua kutumia umafia wake wote kuhujumu democrasia nchini, kuanzia vyombo vya dola, wakuu wa mikoa, wilaya na viongozi wa kata, tarafa na vijiji. Wako yatari kwa lolote, hata kama ni kuua, kujeruhi, kutishia, na...