Recent content by Muha wa kweli

  1. Muha wa kweli

    Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

    😅😅 Aloo!
  2. Muha wa kweli

    Tunasambaza Maji Safi na Salama, Goba kwa malori kuanzia lita 3,000

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums, Je, unaishi au unajenga maeneo ya Goba na unahitaji maji safi na salama kwa haraka? Tunatoa huduma maalum ya kusambaza maji kwa malori kuanzia lita 3,000 na kuendelea kwa wakazi wote wa Goba. Kazi yako ya ujenzi isisimame na maisha ya nyumbani yasikwame...
  3. Muha wa kweli

    Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Usiku ukiwa mwema kwakweli ni mhimu kulala, spelling mistake shoga zake instead of zangu.
  4. Muha wa kweli

    Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Niaje wakuu? Nimekaa hapa nikiwa nimeshika simu yangu mkononi, huku nikitazama screen na kushusha pumzi ndefu. Kila nikikumbuka ujumbe wa makato ya miamala na madeni niliyoyaingiza wiki chache zilizopita, nasikia maumivu mapya kabisa moyoni. Siyo kwamba nina matatizo ya kiuchumi ya kuzaliwa...
  5. Muha wa kweli

    Onyo: Usimwoe mwanamke anayejipost mitandaoni

    Huyu yawezekana akawa ni mhanga wa hii mambo, kwakua limemfika kaona hata lisimwache kinyonge ngoja nae apate kipozeo "Ma “onyo” yamekuwa mengi sana siku hizi. Mtu akiamka akashiba zake kiporo ule muda wa kusinzia anautumia kutunga “onyo” lake…."
  6. Muha wa kweli

    Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

    Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Tajili apo niKwisha habari yko
  7. Muha wa kweli

    NI NJIA GANI BORA YA KUTOA FEDHA KUTOKA META (Facebook).

    Ngoja Waje wenye uzoefu kwenye hili
  8. Muha wa kweli

    Malezi ya wazazi wangu yameniathiri vibaya sana

    Kajichangaye mkuu,ila katika harakati za kutafuta kujichanganya kwako angalia na izo groups usije jikuta umeangukia majani
  9. Muha wa kweli

    Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Profile name tu na ujumbe wako ndo kwanza nimeachwa hoi
Back
Top Bottom