Hata tusemwe namna gani lakini hatubadiliki kabisaa wala hatujali, atakayetoka na atakaye ingia wote mwendo ni ule ule hakuna mwenye unafuu wala aibu. Tunakosoana pindi tukiwa hatupo kwenye hizo nafasi, ngoja sasa mtu aipate hiyo nafasi sikilizia balaa lake duh! Afrika Bara letu tunakulilia.
Hii mifumo kwakweli ni changamoto sana kuna madeni sijui yanatoka wapi mimi nilikuwa DRC narudi nafika Mbeya nakamatwa na Trafik nina fine ya kuendesha kwa mwendo kasi Dar , tarehe na liseni sio yangu namba ya gari yakwangu , nilipambana mpaka likafutwa .
Ulimwengu wa vita unakwenda kwa kasi kubwa sana kiasi ambacho mwanadamu anaweza kupiga mahala apatakapo bila kuwatuma Wanajeshi wake wa miguu kabisaa, wacha tuone wanavyo endelea sisi tunangoja kusikia tu.
Ndugu pole sana kwa msiba huu, tuendelee kumwombea apumzike kwa amani na we pamoja na familia mpate faraja ya Mungu ktk kipindi hiki kigumu cha msiba, tumwombe Mungu atujaalie mwisho mwema. Amina.
Kusema ukweli swala la malezi sasa limekuwa changamoto kubwa sana ulimwengu umetuzidi Nguvu kila upande hakuna wa kumlaumu mwenzake wala wakumfunga paka kengele. Tutasema nini juu ya hilo la sindano huku tukiwa tumeacha malezi na mafunzo yetu ya asili kwenye maadili yetu ya kiafrika? Sote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.