Recent content by Mu_bee_nah

  1. M

    Naweza kufanya kazi/shughuli gani kwa DSM ikaniingizia 20K daily?

    Habari wana JF, Mi ni ke 24 yrs nina degree na nipo DSM. Naombeni mnisaidie mawazo na ushauri je, naweza kufanya mishe gani ya halali hapa DSM ambayo inaweza kuniingizia 20k daily? Uwinga saivi hali si shwari.
  2. M

    Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
  3. M

    Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

    Kama sikosei waswahili husema, Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe. Anyways kila mtu ana uhuru wa kufikiri.
  4. M

    Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

    Kwa jinsi unavyo jibu inaonekana kuna kitu hakipo sawa kwako, Anyways kila mtu na maisha yake.
  5. M

    Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

    Sijui kwa nini watu wanachuki na uislamu! Na unakuta mtu hana hoja ya maana basi tu ni kufikiri kwa matamanio na kukurupuka, Anyways Kila mtu na maisha yake.
  6. M

    Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

    Kwa nini usiongee nae kistaarabu na kumwelewesha mavazi anayo takiwa kuvaa?
  7. M

    Kiwanja chenye square meters 290 kinatosha kujenga?

    Nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, kitchen, dinning, na public toilet na chumba kimoja walau kiwe master
Back
Top Bottom