Recent content by mTZ_halisi

  1. M

    Tanzia: Mwanzilishi na Bosi wa Tip Top Connection, Abdul Bonge afariki dunia

    Atakuwa kaanguka vibaya dah... tutaogopa kuamua ugomvi. RIP brother
  2. M

    Dj JD a.k.a the legendary Is back...th finest and greatest in town...who is your best ever dj??

    he is great kwa kweli... na anajua afanye nini wkt gani.....yaonyesha ni kitu kipo ndani yake sio cha kuiga Same always, the best DJ in town
  3. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    true that!
  4. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    Exactly, watanzania wako wagumu sana kukubali pale ambapo hakuna ubishi jamaa yuko vizuri ktk kazi zake. Nilichogundua wengi wa hawa haters ni watoto wa juzi juzi tu, walikuwa bado na pampers kipindi hiki tunachokiongelea BIG UP SANA!!
  5. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    I am smelling Jealousy
  6. M

    Mwalimu ajifungua watoto wanne

    Hapo ndio wanaposema tumshukuru mungu kwa kila jambo.... alipoteza mmoja na sasa Mungu kampa wa 4 kwa mpigo. Tunawombea afya njema na waweze kupata uzito stahili mapema na kuweza kutoka hospital na kuishi nyumbani kwao Katika hali kama hii watanzania inabidi tumsaidie kwa vile tutakavyojaaliwa...
  7. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    Dah Hii picha si ya ijumaa... 14th Oct pale maisha.. as one of the guest DJs I was in the house.... was awesome Thanks
  8. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    That is love for the music man huwezi kimbiza zote kwa speed ile ile kama huipendi kazi yako John rudi bwana... we miss u
  9. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    ina maana wasichana wote usipowaona UKE hujui kama ni wasichana au nini Just say it... humu si mwenyeji umekurupuka tu
  10. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    kwa kweli na alivokuwa precise!! good old memories thanks
  11. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    hapo hujamtendea haki NOT ENOUGH kama unafuatilia posts zake she is a girl, hawezi kuwa JD plus sijajuaumaarufu unapimwaje... kusema umepotea nadhani uko nje ya mada he is still popular na wapo wanaoheshimu hilo.... kazi kwako na ranks zako jamani wk end njema na big ups to all stop hating
  12. M

    Wapi John Dilinga Matlou

    watu wanakurupuka tu na majibu yasiyokuwa valid bibi kizee angeweza kumzalia watoto walio nao? wewe kama ulikuwa unamtaka na akakutosa si useme tu Ninachofahamu, a fact alimuoa msichana mmoja straight from school na walikuwa pamoja kwa muda mrefu kabla ya kuoana rasmi Na ni John Dillinga...
  13. M

    Hospitali zipi/ipi nzuri kwa mama mjamzito kuhudhuria clinic

    nimejifungua agakhan mara 2 zote bila operation tena walikuwa wananipa moyo nijitahidi all will go fine... i made it ok wana specialists wazuri ambao wamenisaidia as a person so i will go there anytime any day and recommend the same to all. Muhimbili nishaenda mara 2 beefore my kids and...
  14. M

    Hospitali zipi/ipi nzuri kwa mama mjamzito kuhudhuria clinic

    NOT Massana nor Muhimbili wote sijarecommend ikibidi umeenda muhimbili uwwe na mtu anae kufahamu akupeleke kwa Dr mzuri else u might be disapointed
  15. M

    Wanafunzi wa kike waua mwalimu wao... Adaiwa kutaka kumbaka mwenzao

    exactly, kwa nini kama ni maelezo hakupekela ofisini muda wa kazi.... Huyu mwananfunzi ana agenda ya siri na itabidi aseme tu vizuri lkilichotokea the guy was married and had beautiful kids, yani mmemuua kijana wa watu bila sababu kisa wanakijua hao wanafunzi. Hope sheria itasimama mahala pake...
Back
Top Bottom