Recent content by Mtuwakalesana

  1. M

    We Hilda Newton wa CHADEMA kama unatukana ili kumfurahisha Maria Sarungi; Pole sana. Sheria zetu zipo very active

    Ila yule sheikh ubwa ubwa aliyesema atakata watu vichwa sheria haimhusu. Mambo mengine bhana yanachekesha
  2. M

    Mnadanganyana na akina Mange Eti bila CHADEMA hakuna maridhiano, hebu acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao

    Kwani shida nini? Si mridhiane na hao hao ma UDP, CUF ACT wazalendo n.k mridhiane kwa madonda mliyowasababishia wakati wa uchaguzi wa October 2026 baada ya wao kukubaliana kuwa mlishinda kwa 98% na hapakuwa na duku duku wala tatizo lolote kwenye uchaguzi.
  3. M

    Huu sio ustaarabu . Mnafurahia na kuchekelea mlinzi wa rais kuanguka!

    Mambo yasiyo ya kistarabu huwa ni mengi sana hapa kwetu tz, ukiacha hili la mlinzi kuanguka
  4. M

    Ukweli kuhusu jezi za Simba ni huu

    Sasa kama ni hizi mbona nzuri tu
  5. M

    Ukweli kuhusu jezi za Simba ni huu

    Jtano haiko mbali tuone kama ulichosema ni kweli
  6. M

    Ninawataka NIDA na INEC kuwaomba watanzania MSAMAHA

    Tukiwa tunamung'unya mung'unya hili la slow slow, tunasubili bomu la nyuklia kutoka kwa jasusi la mbinguni
  7. M

    GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

    Ukishajua NIDA na INEC vipo chini ya Mamlaka ipi na huteuliwa na nani huwezishangaa wao kukana
  8. M

    Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

    Kwani tatizo ni dini ya Gwajima au Gwajima mwenyewe??
  9. M

    Aloyce Nyanda atishiwa kisa Machapisho ya Instagram

    Duuuh hili li nchi limekuwa la hovyo aseee
Back
Top Bottom