Recent content by mtumwa-utumwani

  1. M

    Ndugu za mume wangu na mama Mkwe wananichanganya

    Pole sana Mkiwa, nakubaliana na yote yaliyosema na hata uliyosema yanakusibu. ndoa na swala la mahusiano ni watu wawili yaani mume na mke. mahusiano yoyote ili yawe mazuri ni ya wawili hasa haya ya kimapenzi. akiingia mtu wa tatu basi hali huanza kuwa mbaya. maswali yangu ya msingi kwako ni...
  2. M

    Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

    huku Zenji auto ni ile ya kawaida na manual ni hii ambayo gear kuingia ni kazi sana hasa kama grisi hakunaa. kama hakuna grisi lazima utasikia kelele. mi nazijua hizooo.
  3. M

    Daudi Ballali's Death

    Najiuliza kwa msoma risala awe kiongozi kutoka serikalini atasomaje risala katika mazishi ya balali. kama ni wewe ungefanyaje?
  4. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    haya mambo yaacheni tu. ni vile kuara zenu zinatolewa kawa T-shirt na Kanga. Walau ingekuwa T-shirt na Jinsi
Back
Top Bottom