Habari Mafunzo ya Udereva
Mm naomba kuuliza, je, mtu akijifunza udereva mafunzo ye udereva anapata leseni Daraja D peke yake? Je kama akihitaji daraja A, A2 na B hawezi kuwekewa?
Je na hiyo gharama ambayo mtu analipia nyie wenyewe mnamsaidia mpaka kupata leseni, au nyie kazi yenu ni kutoa...
Mm nakufanyia kwa gharama ya elf 30 tu.
Kigumu uwe na details za wazazi wako.
Uwe na leaving certificate ya form four.
Chefi unakichukulia sehem yeyote unayo taka.
HP ZBook Firefly 14 G7
Intel core i7 10510U
Generation ya 10TH
16 RAM DDR 4
Intel UHD graphics
256 NMVe Storage
PC yenye hizo specifications naipata kwa Bei Gani hapo Dukani kwenu?
Je huo ukuaji unauona?
Ni mikakati gani ambayo serikali imeiweka kutimiza ukuaji wa uchumi? Ukiacha na hiyo mikakati ya kwenye makaratasi?
Let's be honest, hamna hiyo mikakati cuz we are facing rapid population, but no strategic plan za kupambana na hiyo population.
Ukosefu wa ajira kila siku...
Hapa umepinga au umeunga hoja? Hivyo vitu ulivyo vitaja vina- tofoutiana wapi kwenye uchumi?
GDP per Capital it's not the case, we're talking the real situation to our Streets. Leo unaniambia pato la Taifa ni Trillion 40, wakati katka waTz million 60 ni asimilia 1 tu wamchangia hilo Pato kwa...
Mkuu kwema?
Unaona hiyo Dira ya mwaka 2050 utatimia?
Kama hii ya 2025 hata Asilimia 30 tu hatujafikisha.
Je! Tutaendelea Kuamini Kuwa hiyo ya 2050 utatimia?
"Ambayo kwa Watanzania ni changamogo kwa sababu wengi hawajui lugha za kimataifa kama Kiingereza, ambazo ili uijue dunia na kuelewa vitu vingi, ni muhimu uifahamu"
Pamoja na yote uliyo yasema Mkuu, ila hii hoja hapo juu ndiyo changamoto kubwa kwetu sisi watanzania.
Hii imetufanya tuwe limited...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.